Out On Bail
Out on bail
Nafaa kulipa rent
Sifai kufail
Nastay home for a while
Ni avoid trouble
Nataka pesa legal
Nafaa kuenda viral
Nafaa kuenda viral
Out on bail
Nafaa kulipa rent
Sifai kufail
Nastay home for a while
Ni avoid trouble
Nataka pesa legal
Nafaa kuenda viral
Nafaa kuenda viral
Nina ki ziplock imejaa mah ziplock
Nimekalock Mali yangu iko kwa block
Sipendi police corrupt
Hao ndio wezi hawatuwezi
Tukiungana tuko wengi
Kuniharass ju me ni mrass
Awataki kiniona kwa hii universe
Wananicurse wanadai kuniona ndani ya hearse
Nimepitia vitu worse
God first
Nataka kustay peaceful
Street ni hot natembea na kisu
Ptsd inanisumbua
Trauma walistab my back bila me kujua
Nilibroke my wrist
Nikatwist my knee
Unable to hustle
To God nikakneel
Out on bail
Nafaa kulipa rent
Sifai kufail
Nastay home for a while
Ni avoid trouble
Nataka pesa legal
Nafaa kuenda viral
Nafaa kuenda viral
Out on bail
Nafaa kulipa rent
Sifai kufail
Nastay home for a while
Ni avoid trouble
Nataka pesa legal
Nafaa kuenda viral
Nafaa kuenda viral
Blood clot na Me c mjamaica
Nadai maweng billion Dollars Kama jigga
Kama kanye Na injury nezs spit through the wire
Dec to january mamblaina Watagwaya
Niliservive bila madoki
Kenye nilidai ki spliff na kichoki
Na bado ukinichokoza neza kupiga ndiki
Nikianza kuflow wananishow endelea
Boy ashagrow design ya mmea
BF ya siz alikua anaitwa Leah
You don't understand am not the same nigga
Naishi Disney Land
In my Own world
Believe me namake ilook easy
You need me Kama shule academy
Siezi mind ukidai kuwa my enemy
Nadai a milli Kama Gucci
Maisha Royalty
Niite your majesty
Yeah
Out on Bail
Nafaa kulipa rent
Sifai kufail
Nastay home for a while
Ni avoid trouble
Nataka pesa legal
Nafaa kuenda viral
Nafaa kuenda viral
Out on bail
Nafaa kulipa rent
Sifai kufail
Nastay home for a while
Ni avoid trouble
Nataka pesa legal
Nafaa kuenda viral
Nafaa kuenda viral
Nina ki ziplock imejaa mah ziplock
Nimekalock Mali yangu iko kwa block
Sipendi police corrupt
Hao ndio wezi hawatuwezi
Tukiungana tuko wengi
Kuniharass ju me ni mrass
Awataki kiniona kwa hii universe
Wananicurse wanadai kuniona ndani ya hearse
Nimepitia vitu worse
God first
Nataka kustay peaceful
Street ni hot natembea na kisu
Ptsd inanisumbua
Trauma walistab my back bila me kujua
Nilibroke my wrist
Nikatwist my knee
Unable to hustle
To God nikakneel
Out on bail
Nafaa kulipa rent
Sifai kufail
Nastay home for a while
Ni avoid trouble
Nataka pesa legal
Nafaa kuenda viral
Nafaa kuenda viral
Out on bail
Nafaa kulipa rent
Sifai kufail
Nastay home for a while
Ni avoid trouble
Nataka pesa legal
Nafaa kuenda viral
Nafaa kuenda viral
Blood clot na Me c mjamaica
Nadai maweng billion Dollars Kama jigga
Kama kanye Na injury nezs spit through the wire
Dec to january mamblaina Watagwaya
Niliservive bila madoki
Kenye nilidai ki spliff na kichoki
Na bado ukinichokoza neza kupiga ndiki
Nikianza kuflow wananishow endelea
Boy ashagrow design ya mmea
BF ya siz alikua anaitwa Leah
You don't understand am not the same nigga
Naishi Disney Land
In my Own world
Believe me namake ilook easy
You need me Kama shule academy
Siezi mind ukidai kuwa my enemy
Nadai a milli Kama Gucci
Maisha Royalty
Niite your majesty
Yeah
Out on Bail
Credits
Writer(s): Clinton Onyango
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.