Kushoto Kulia

Kushoto kulia
Kushoto kulia (Jeshi)
Kushoto kulia
Washa tochi ya simu sa tuone mwanga (Konde Boy)

Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kapandisha wazimu analicheza vanga

KondeBoy for everybody
My music dey shake your body, ay
'Cause I do this for my people
I wanna hear you sing, ta-la-la-la

Kikando kinanigadi
Nafasi naongeza idadi
Saluti kwa wanangu wa ghetto
Segelea okonga gwala gwala

Wasonipenda kazi wanayo
(Eeh, kazi wanayo)
Mie sipigi genga pesa ninayo
(Eeh, pesa ninayo)

Tunatia chenga wanafuata nyayo
(Eeh, wanafuata nyayo)
Tunapiga denda wanapiga miayo
(Eeh, wanapiga miayo)

We kesha kwa waganganga
Mwenzako najichanganganga
Nazisanya faranganganga, yee!
Nikipata natumia maduwoteru

Ruksa nipanganga
Napendaga vicheni vishanganganga
Na uturi wa tanganganga
Hakikisha unanukia, oya!

Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Washa tochi ya simu sa tuone mwanga

Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kapandisha wazimu analicheza vanga

Samina mina, eeh eeh
(Waka waka, eeh-eeh)
Samina mina, eeh eeh
(Waka waka, eeh-eeh)
I say, samina mina, eeh eeh
(Waka waka, eeh-eeh)
Samina mina, eeh eeh
(Waka waka, eeh-eeh) Ay

Wanaotaka shindana na mimi
Hawapati hata sare
Usishangae tattoo na vipini
Ni makonde chale
Peace kwa walonileta mjini
Mondi wa Tandale
Maneno majungu tupa chini
Muziki utawale (hee!)

Kama nyapara kafunguliwa pingu wee
Kutwa tunachana mawingu wee
Ameshapanga wewe ni nani upangue
Unajitesa buree (hee! Aga)

We kesha kwa waganganga
Mwenzako najichanganganga
Nazisanya faranganganga, ay
Nikipata natumi, oya!

Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Washa tochi ya simu sa tuone mwanga

Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kushoto kulia
Kapandisha wazimu analicheza vanga

Bonga, mwambie cheopa
Moto hauzimwi na moto wewe
Wakiziba kulia
Si tunapita kushoto

Je mama jin
Usicheze na jembe litakulima (kushoto kulia)
1-1-7 (kushoto kulia)
Talk that thing
My nigga Jose wa mipango
Konde Gang is for everybody, everybody (kushoto kulia)
(Kushoto kulia)
(Washa tochi ya simu sa tuone mwanga)
(The Mix Killer)
(Oh, my God, it's Better Sounds)



Credits
Writer(s): Rajab Kahali
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link