Happy Birthday

(Wasafi)
(Ah, ha-ha, Uprise Music, baby)

(Fragga got the recipe)

Kwanza n'na furaha (n'na furaha)
Nitaimba na kucheza (na kucheza)
Washa mishumaa (mishumaa)
Weka keki juu ya meza (juu ya meza)

Oh, ila, usinicheke
Nimekuletea zawadi kidogo n'lichobarikiwa (n'lichobarikiwa)
Haki mwana mpweke
Aje na dumu la maji, asije kakumwagia

Ah-ah, na kapicha kako nitaka-post
Was'okupenda itawa-cost
Ah-ah, leo siku yako nishajikoki
Tuko rafiki zako, tunasema
"Happy birthday"

Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday (ah-ya-ya) to you
Happy birthday to you

Ah-ah, sinywagi pombe leo n'talewa (n'talewa)
Niwape shombe wal'ochelewa (wal'ochelewa)
Zikinipanda monde nitapepewa (nitapepewa)
Ah-ah, pembe la ng'ombe au malewa

Ila usi-forgeti (kusema)
Asante baba na mama wal'okukuza ukakua
Tunakupa na keki (kwa wema)
Akulinde Baba Maulana, twakuombea na dua

Ah-ah, na kapicha kako nitaka-post
Wasiokupenda itawa-cost
Ah-ah, leo siku yako nishajikoki
Tuko rafiki zako tunasema
"Happy birthday"

Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday (ah-ya-ya) to you
Happy birthday to you

Kata keki, kata (kata)
Oh, kata (kata)
Kata (kata)
(Kata unilishe) keki ya jina lako (kata)
Walishe na wenzako (kata)
Tupo kwa ajili yako (kata)
(Kata unilishe)

Oh, basi kata (kata)
Oh, kata (kata)
Kata nikwone (kata)
Kata (kata unilishe)
(Kata)
(Kata)
(Kata)
(Kata unilishe)

Ah-ah, na kapicha kako nitaka-post



Credits
Writer(s): John None
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link