Waumie

Kwanza funga mapazia
Wanga waache waanze kulia
Mi na wewe darling
Mungu kashatuandikia
Mhhhh ahaaa
We ni mzuri mama
Acha waone gere mama

Mwili wako maridhawa
Rangi chocolate kahawa
Mie fundi Shinji Kagawa
Nimenasa kwako ka chawa
Mhhhh ahaaa
Ebu nichumu mama
Acha waone gere mama

Asa baby tufanye nini
Waumie Mhhhh
Waumie Waumie Ahaaa
Uvaage shela makini
Waumie Mhhhh
Waumie Waumie Ahaaa
Uniite mfalme uwe queen
Waumie Mhhh
Waumie Waumie
Acha waone gere mama
Waumie
Waumie waumie
Ehhheeeeh

Oh
Asa baby tufanye nini
Waumie
Waumie Waumie Ahaaa
Uringe ukiwa na Mimi
Waumie
Waumie Waumie
Waache wenye vyao visirani
Waumie
Waumie Waumie
Acha waone gere mama
Ehhhheeehhh

Tulipotoka ni mbali Mh
Sio siri ni Kali safari Mh
Yenye Milima mabonde Yeah yeah yeah
Chuki zao na vijembe
Mara waseme
Wasitukere hao
Wanaona gere mama
Wanaona gere mama

Kwani mapenzi si yetu wawili
Ya wengine tujue yanini
Asa mbona ata haya awaoni
Wanashindwa amini
Kwamba mi na wewe, milele eh eh
Milele mama Milele mama

And there is nothing
Nothing to stop me from loving you my baby
Ohhhh my baby
There is nothing in this world Nothing in this world
That can take me away from your love

And there's nothing nothing nothing nothing
Na na na na nothinggg
Nothing can stop me from loving you
Nothing can stop me from loving you

Asa baby tufanye nini
Waumie Mhhhh
Waumie Waumie Ahaaa
Uvaage shela makini
Waumie Mhhhh
Waumie Waumie Ahaaa
Uniite mfalme uwe queen
Waumie Mhhh
Waumie Waumie
Acha waone gere mama
Waumie
Waumie waumie
Ehhheeeeh

Oh
Asa baby tufanye nini
Waumie
Waumie Waumie Ahaaa
Uringe ukiwa na Mimi
Waumie
Waumie Waumie
Waache wenye vyao visirani
Waumie
Waumie Waumie
Acha waone gere mama
Tufanye nini Ehhhhhh



Credits
Writer(s): Joseph Mchome
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link