Slay King (Vitu Sipendi)

Ehen, DVK
(Black Hole)
This one's for all my slay kings
Doing their thing out here in Nairobi, man
Watu wa kuchukua Uber na si Umoinner
Watu wa kudishi Kempinski, not kibandaski
Ayy

(Ehen)
Nganya, wezi
Panya, deni
Hizo ndio vitu sipendi
Piga, densi
Sitaki penzi, shenzi
Hizo ndio vitu sipendi

Mi na ma-bro tuko rieng, tuko ma-drinks na mayeng
Kuna mmoja ameninoki, anadai mjulubeng
Lakini mi niko hungry, mi nasaka tu msosi
Options ni mchezo, kumbe Kevo si mdosi
Ati migingo na teargas, hizo ni nini?
Leta maharagwe na pasta, na soda mbili
Juzi niliona dem akidarwa, huko jijini
Wanashangaa ati nani ananyamba? Buda si mimi

(Ehen)
Nganya, wezi
Panya, deni
Hizo ndio vitu sipendi
Piga, densi
Sitaki penzi, shenzi
Hizo ndio vitu sipendi

Ni wikendi
Tunaenda party
Kila mtu ako barley
Shawty
Leta nare
Washa ngem hapo ndani
DVK
Flows kibao, lazima
Hizi line nizi-ration
Wekwa chobo
Pigwa bare kama Rachel
Rachel, Rachel (Ehen)

Nganya, wezi
Panya, deni
Hizo ndio vitu sipendi
Piga, densi
Sitaki penzi, shenzi
Hizo ndio vitu sipendi

(Black Hole)



Credits
Writer(s): Davy Kamanzi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link