Angela
Angee angela
Ange angela
Ange angela
Ange angela
Beat by Catp
Siku hizi nakuonaga kwenye video, sio kama juzi na janaa
Instagram simu kimeooo, sioni hata picha ukitumaa
Ila akilii yanguu,imebaki taswira yakoo
Najua hali yanguu, ndio chanzo cha mwendo wakoo
Ile picha ukutani ukicheka mwenzako, inaniumizaa, Usiku nagala gala
Ange (Angelaa)
Majirani rafiki zako wanapokuulizaa
Mama yangu amezidi ange (angelaa)
Acha yaishe, japo moyo kigugumizi
Bora yaishe
Mwili kutetema ubaridii
Acha yaishe, rafiki zangu gongo na mnazii
Bora yaishe! Mi nale tilalila ka kombaa
Najiona kama kopoo, nilikosa thamani naendewa chooni
Kuondola kwako fumboo sina jibu kichwani maumivu moyonii
Eti umepata kinara
Nam nirudi jandoni nifunzwe mapenzi
Ila sio mbayaa nitapona vidonda
Maumivu yatapoteaa
Ile picha ukutani ukicheka mwenzako, inaniumizaa
Usiku nagala gala
Ange (Angelaa)
Majirani rafiki zako wanapokuulizaa
Mama yangu amezidi ange (angelaa)
Acha yaishe, japo moyo kigugumizi
Bora yaishe
Mwili kutetema ubaridii
Acha yaishe, rafiki zangu gongo na mnazii
Bora yaishe! Mi nale tilalila ka kombaa
Mmmh
Mwenzako ile hamu hamu (hamu hamu)
Ham ham (ham ham)
Ya penzi nishaipoteza
Naule wako utamu tamu (utamu tamu)
Utamu tam (utam tam
Wape wanaojiwezaa
Mwenzako ile hamu hamu (hamu hamu)
Ham ham (ham ham)
Ya penzi nishaipoteza
Na ule wako utamu tamu (utamu tamu)
Utam tam (tam tam
Ei iei ieiiii ehiiii
Ange angelaaa
Angelaaa angee laaa
Ange Angelaa
Angelaa hahaaa
Ange angelaaa
Angela mamaaa angeee eee
Ange angelaaa
Ange angela
Ange angela
Ange angela
Beat by Catp
Siku hizi nakuonaga kwenye video, sio kama juzi na janaa
Instagram simu kimeooo, sioni hata picha ukitumaa
Ila akilii yanguu,imebaki taswira yakoo
Najua hali yanguu, ndio chanzo cha mwendo wakoo
Ile picha ukutani ukicheka mwenzako, inaniumizaa, Usiku nagala gala
Ange (Angelaa)
Majirani rafiki zako wanapokuulizaa
Mama yangu amezidi ange (angelaa)
Acha yaishe, japo moyo kigugumizi
Bora yaishe
Mwili kutetema ubaridii
Acha yaishe, rafiki zangu gongo na mnazii
Bora yaishe! Mi nale tilalila ka kombaa
Najiona kama kopoo, nilikosa thamani naendewa chooni
Kuondola kwako fumboo sina jibu kichwani maumivu moyonii
Eti umepata kinara
Nam nirudi jandoni nifunzwe mapenzi
Ila sio mbayaa nitapona vidonda
Maumivu yatapoteaa
Ile picha ukutani ukicheka mwenzako, inaniumizaa
Usiku nagala gala
Ange (Angelaa)
Majirani rafiki zako wanapokuulizaa
Mama yangu amezidi ange (angelaa)
Acha yaishe, japo moyo kigugumizi
Bora yaishe
Mwili kutetema ubaridii
Acha yaishe, rafiki zangu gongo na mnazii
Bora yaishe! Mi nale tilalila ka kombaa
Mmmh
Mwenzako ile hamu hamu (hamu hamu)
Ham ham (ham ham)
Ya penzi nishaipoteza
Naule wako utamu tamu (utamu tamu)
Utamu tam (utam tam
Wape wanaojiwezaa
Mwenzako ile hamu hamu (hamu hamu)
Ham ham (ham ham)
Ya penzi nishaipoteza
Na ule wako utamu tamu (utamu tamu)
Utam tam (tam tam
Ei iei ieiiii ehiiii
Ange angelaaa
Angelaaa angee laaa
Ange Angelaa
Angelaa hahaaa
Ange angelaaa
Angela mamaaa angeee eee
Ange angelaaa
Credits
Writer(s): Salum Said Nyangumwe
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.