Malaika (Freestyle) [feat. Tuphy]

Nana na na nah
Kusononeka najua ni kufuru ila yamenishindaa
Mi mnyongee mwenzangu mkaburu
Ubabe wa kivitaa
Kukuacha Hapana labda uniache wewe
Mi kwako nitang'ang'ana bora nife nawee aiyee
Kwangu we malaika malaika, Umeshika maisha yanguu
Ukinigusa nafika nafikaa umeshika uhai wanguu
Mi kwako sisemiii
Wakanda Forever,
Mtikisiko Moyonii ndani ndani unachezaaa
Iyee iyeee ieee
Malaika,Malaika
(Malaika malaika)
Malaika,Malaika
(You are my everything)
Malaika Malaika
(Malaiiiiii)
Malaika malaika
(Nakupenda Malaikaa)
Puyaka Puyaka Puyaka babe Puyaka puya
Puyaka puyaka babe Puyaka puyaa
Puyaka puyaka mama puyaka puya
Puyaka puyakaa mmmh eeeh
Forget about the things that i say to you
Forget about the things that I did to you
To me you are the blessing babe we meant to be
Kupishana kwenye maisha inatokeaa
Usiweke vikwazo sio fair
You the special and you know it
Sayari ya uhaiii
Kukuacha Hapana
Labda uniachee wewe
Mi kwako nitang'ang'ana bora nife nawee babe
Umeniweka kifungoni dada we
Hata kwingine siioni ma wee
Macho upofu mi nimechakaa yeye yeyeye
Oohooo hoo malaika
Malaika malaika
(Malaika malaika)
Malaika malaika
My sugar my sugar my sugar my honey ooh
Malaika malaika
My lover my lover my lover my bebio
You got me thinking about you
Yeyi yeye hii
You got thinking about you you yo
You got me thinking about you girl
Yeiye hii
Malaika
Shout out to my produce Tuphy
Goodnight bye bye



Credits
Writer(s): Salum Said Nyangumwe
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link