U Don Know

Yeah yeah
Wooh, woooh
Clue Ashaivisha Track
Na mnajua

You don't know my struggle
You don't know my hustle
Ujui kwenye nimetoka
Nimewakula adi mboka
Now kila kitu iko fine
Fine, fine
Ni time ya kushine, shine shine
You Don know my struggle
You don't know my hustle
Ujui kwenye nimetoka
Nimewakula adi mboka
Now kila kitu iko fine
Fine, fine
Ni time ya kushine, shine shine

Mapunk wanacruse na land Cruiser
Sisi ni mlango za mathree tunaguza
Kila morning tukifika works
End month wanakata tax
Royalty za Ngoma hazifiki
Ni Ka mabuda wanazidishi
Wanafanya nifeel bad
Ukiniona nakaa Mtu ako sad
Nimebonda, watafanya nigo mad
Nianze kuwachant,nigo crazy
Kama yg nigo brazy
Nifanye Kitu itaniingiza behind bars
Ndo maana natry kuji free up na izi bars
Natoka Tao na mabrown kathaa
Nimetoka ghetto wanathani me ni punk
Bado sijalipwa salary
Lazma uwe mjanja hii Nairobbery,aaaahgr

You Don't know my struggle
You don't know my hustle
Ujui kwenye nimetoka
Nimewakula adi mboka
Now kila kitu iko fine
Fine, fine
Ni time ya kushine, shine shine
You Don know my struggle
You don't know my hustle
Ujui kwenye nimetoka
Nimewakula adi mboka
Now kila kitu iko fine
Fine, fine
Ni time ya kushine, shine shine

I remember like yesterday
Nikiwaomba doh nikapigwe x-ray
I was so broke singe afford adi cologne
Nikajishow sitadedi as I was born
Am here to win, Cheki looku napiga clean
Kumaliza highschool nikadai kumove out
Nikashow siz najitoa
She was like, please don't go
I want to make my own lane
Nikupandishe izi planes
I remember umefanya alot kueka food Kwa plate
It's my time kuenda uko inje kuzisaka
Usiworry sitarob tena ama kusell weed
Nimeamua hii music ndo itanifeed
Ndo nicome kuhelp time uko Inneed
Ni Clinchy, Repping number mbili
Kuzaliwa ni eastlando
Nimegrow up Dago

You Don't know my struggle
You don't know my hustle
Ujui kwenye nimetoka
Nimewakula adi mboka
Now kila kitu iko fine
Fine, fine
Ni time ya kushine, shine shine
You Don know my struggle
You don't know my hustle
Ujui kwenye nimetoka
Nimewakula adi mboka
Now kila kitu iko fine
Fine,fine
Ni time ya kushine, shine shine

Yeah
Na siachi kuandika Ngoma
Nakeep on going ata kuwe kunoma
Hii ndo life nimechoose
Sina kitu ya kuloose
Do or die, Siachi walai

Yeah
Na siachi kuandika Ngoma
Nakeep on going ata kuwe kunoma
Hii ndo life nimechoose
Sina kitu ya kuloose
Do or die, siachi walai



Credits
Writer(s): Clinton Onyango
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link