Acha Nikushow
Naspit pain,naspit struggle
True story,kenye nimepitia kwa life
Yani this is my life
Wanadai wananiona kwa mbulu
Nikitembea wanapiga tu nduru
Ati Clinchy umejaa,usiseme me ni zuzu
Naona wamekula mbuku kunihusu
Acha nikushow kenye nimepitia broh(acha nikushow acha nikushow)
Acha nikushow kenye nimepitia broh (acha nikushow acha nikushow)
Acha nikushow kenye nimepitia broh(acha nikushow acha nikushow)
Acha nikushow kenye nimepitia broh (acha nikushow acha nikushow)
Yeah,aaah
One month kumada colle nishachorwa works
Naona izi mashida zote zikiisha once
Naacha kudozz kwa mattress nabuy bed
Wageni watasit down,nabuy sits
Shoe rack pia ndio nichange look
Nilitake a long time kusoma books
Nili apply many jobs hawakunicall
Finally niko na job nime accept call
A porche place that i work siku expect this
Nilikua broke, now nalipwa mageez
Am getting started, sidai expectations
I was selling records,ganji ikua enough
Uliniseti utabuy my album
Wenye walinisupport i got love
Nikashow boss wa me nilikuwa plug
Kuget Job ni blessing
Kenye sijamshow nastack doh alaf niende missing
Acha nikushow kenye nimepitia broh(acha nikushow)
Acha nikushow kenye nimepitia broh (acha nikushow)
Acha nikushow kenye nimepitia broh(acha nikushow)
Acha nikushow kenye nimepitia broh (acha nikushow acha nikushow)
Yeah,aaah
Living on the downlow,i have to make it
Ndani ya bando,mtaani Dago,nimewasha ungwello
Nafeel fiti niko aire,nimecladdy vi stylish
Ukinidissapoint twice,Nakushow bye bye bila kujali walai
Kila morning naflexx,ndio nipull up on my ex
Siko lazy paper nachase
Hii ndio mwanzo kama siku ya creation
Nakeep it going nomatter the situation
Basi listen,all i have is ambition
Niko different kwa hii game naona vision
Nafika show nakutana na wakomi walinirob
Wamecome kuniwatch,ju music ni strong
Niko na food to their soul,tukasolve hii beef
Nathrow my heart over the bar
Nalipa bills nikispit izi bars

Nawamurder slow,nikiflow,on a dope beat
Hii ndo works nitatumia kipaji
Nasaka form kwa street nikisaka kazi
Nikaona awatupei opportunity
Na lazima nishine,nisiingie kwa crime
Happy niko inspired to build my empire
Siworry about nothing
Naona wanaworry about stunting
Claim you the man,i dont believe you
Ukistunt for the gram i dont believe you
Nita explain later,sahii nadai paper
No more mr.nice guy,nadai kuwa icon
Wanalack loyalty,reason siezi watrust
Budah me ni royalty adi nikue dust
Wale marapper wako na moto
Washow me ndo zima moto
Naspit rhymes deep and dope
Rap niggas mnafaa kuwa scared
Ni the end of you the begining of me
Ulilost my respect sikuoni kama threat
Naingiza ganji ki G kama G money
Vitu nafanya nacheki wanatamani
Samahani cheza mbali na mimi
Hii ni more than music to me
Nafeel ancestors wanaspeak through me
Am here to stay siendi mahali

Credits
Writer(s): Clinton Onyango
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.