Kariakoo

Karia karia karia
KARIAKOO
Karia karia karia karia! karia karia
KARIAKOO

Karia karia karia
KARIAKOO
Karia karia karia karia! karia karia
KARIAKOO

Be humble huku watu hawakurupuki
Allikuja kununua suti chaajabu kauziwa chupi
(Kariakoo)
Hii ni laki O.G bei haishuki kanunua simu kufika nyumbani kufungua kumbe biskuti
(Kariakoo)
Kariakoo ni ndo chama la masela (Kariakoo)
Mpera mpera macho kwenye hela (Kariakoo)
Hewani inapepea kwa bendera (Kariakoo)
Imeppeleka wengi huko jera (Kariakoo)

Karia karia karia
KARIAKOO
Karia karia karia karia! karia karia
KARIAKOO

Karia karia karia
KARIAKOO
Karia karia karia karia! karia karia
KARIAKOO

Maajabu Nimeona mpaka nkashtuka mizigo ya kubebwa na
Lori huku inasukumwa kwenye gutakariakoo
Mungu wangu hivi sasa ndio nasanuka sina simu
Wala sina wallet na kibaka muda kasharuka
Kariakoo mishe mishe tunafight na misoto
Jichanganye kichwa kichwa uziwee tuh midosho
Dream chasers hatuchoki huku kukimbiza ndoto
Simba -Yanga derby letu huku linawasha moto
KARIAKOO

Kariakoo ni ndo chama la masela (Kariakoo)
Mpera mpera macho kwenye hela (Kariakoo)
Hewani inapepea kwa bendera (Kariakoo)
Imeppeleka wengi huko jera (Kariakoo)

Karia karia karia
KARIAKOO
Karia karia karia karia! karia karia
KARIAKOO

Karia karia karia
KARIAKOO
Karia karia karia karia! karia karia
KARIAKOO



Credits
Writer(s): Emmanuel Chamzim
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link