Haujawahi

Nyie makolo HAMJAWAHI kusema ukweli kila siku mnaLie
You gat to know HAMJAWAHI mkishoboka sisi tunawapa Dry

HAMJAWAHI kuwa faster mko slow
HAMJAWAHI ata kubounce na kuball
HAMJAWAHI ata kuzisaka doo
HAMJAWAHI shinda ata kupata draw
HAMJAWAHI HAMJAWAHI HAMJAWAHI
Kusema ukweli kila siku mnaLie
Mkishoboka sisi tunawapa Dry
Wanakubali na wenyewe hawakatai

Fanya kushtuka shtuka labda unaota
Ulishaishi milembe na ukatoroka
Umeshakula madawa pia ushamoka
Unaongea mwenyewe na kuropoka
Haujawahi kusex kila mara unajiMasturbate
Haujawahi kuflex so haujawahi kucelebrate
Haujawahi kula kila siku unaliwa ukibet
Uko zig zag yani haujawahi kuwa straight
Haujawahi kuwa better wala great
Haujawahi ata doo kuziMAKE
You aint real kila kitu unaFake
Mpaka ukichana uwa na msikia Drake

HAMJAWAHI kuwa faster mko slow
HAMJAWAHI ata kubounce na kuball
HAMJAWAHI ata kuzisaka doo
HAMJAWAHI shinda ata kupata draw
HAMJAWAHI HAMJAWAHI HAMJAWAHI
Kusema ukweli kila siku mnaLie
Mkishoboka sisi tunawapa Dry
Wanakubali na wenyewe hawakatai

Kwenye misiba na sherehe haujawahi kutoa mchango
Unajiita DON na kabisa hunajambo
Haujawahi kuwa genius -Kichwa Tango
Wakukurupuka haujawahi kuwa humble
Unajiita mnyama na hujui kuhusu jungle
Uwezo upo down yani chini ya kiwango
Maneno kibao ka tangazo kwenye bango
Unyamwezi mwingi na-haujawahi kuvuka ng'ambo
Golini kindoki umekutana na Messi
Unajifanya star we ndo komando kipensi
Daily unapambana hujawahi kuniIMPRESS
Unawekewa biti la kuchana unadance



Credits
Writer(s): Emmanuel Chamzim
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link