Nyonga

INRO
Ah
Mkuruweng
Its byron baby

Tuliachananga na mangoko siku hizi tunakula ma turkey
Tuliachananga mamogoka ju jaba siku hizi mabati
Tuliacha fifty fifty ju mapenzi ni ya thirty
Unadai we ni bikra ju unakaa kuwa mngati

Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)

Hata ka ni koko nataka kupapi
Stakuride na mountain ntatumia blackie
Si nina manganji ulizanga kapi
Staki mchezo leo sinanga ku-try
Tuko asap area flani inakaa kutesa
Sesa, ule ngeus anakalegeza
Tunaitisha mtungi mbogi yote inateveva
Ita therapist tunaziwasha tunamaliza
Vuta makolombo wacha leo tu-abuse
Tunachachisha sana ata muite mbogi ya news
Si ni wauru hatufanyi ju ya views
Wako thirsty sana wanaezanyonya ju ya kiu

Tuliachananga na mangoko siku hizi tunakula ma turkey
Tuliachananga mamogoka ju jaba siku hizi mabati
Tuliacha fifty fifty ju mapenzi ni ya thirty
Unadai we ni bikra ju unakaa kuwa mngati

Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)

Toto relax ikiwa speedy sana unareverse
Ka ni wrong number nakuachia u-reverse
Hii ni verse, naezakutemea ikue curse
Ka ni barz mingi nakufunga ukue ras
Hii ni gas, na ikinuka sana inaezaburst
Sijui ka Sophia alikuanga wa first
Me wa last, natembea form mara das
Ka ni bash nafikanga kama naenda class
Haki siamini
Hawa mangeus wamedunga mini eh
Haki siamini eh
Sisi ni akili eh

Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)
Nyonga (kakivunja shingo)



Credits
Writer(s): Edward Kimachu Irungu
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link