Mediocre (feat. Boutross & Yvionna)

Yvionna
Maddox ah
Aye

Oooh
Munawacheza sana cheki tu mpaka wanazirai
Noooo
Hunwezinfanya choma mi huwezinfanya chipsy aaaiii
Mi nah wan, mi nah wan, mi nah wan no mediocre
I wanna catch a vibe na ka hauna we ondoka
Anataka ku slide na nimefunga duka
Haiwezekani hata awashe doba

Mode wa kile anapenda nyamnyam
Na tasha ashaliya anapenda yah man
Shida ukazima huwezi simama
Huyo ngeus cheki vile amebeba
Tuende roysa asha-surrender
Toyota si ni fielder na kameshinda
Na kama tu ni range utafika ndani ya baze
Na ka ni weekend ku party na mayengs
Na me si fisi sidai kukudishi
Si nimechizi na kile me mkimbizi
Shada napenda uki sipsip
Kwanza we ni mtamu kuliko sushi
Buda ju ya noti
Ni ka ni olunga nasaka tu mashada
Na ma mullah

Oooh
Munawacheza sana cheki tu mpaka wanazirai
Noooo
Hunwezinfanya choma mi huwezinfanya chipsy aaaiii
Mi nah wan, mi nah wan, mi nah wan no mediocre
I wanna catch a vibe na ka hauna we ondoka
Anataka ku slide na nimefunga duka
Haiwezekani hata awashe doba

Punani ni mingi mbona me hudai mwende
Mkamba mfiti but kimbelembele
Alinkalia uso akilegeagea
Akalia vifiti basi tuendelee
Piga hiyo punani hadi ikateketea
Hadi ngware ni matunda nilitengenezewa
Nilikuom magizani kuitembelea
Na ka unakutu ya mchana ntaisherekea
Naingia kwa tina vile me huingia kwa Beth na Brenda
I swear hiyo nyap ingekua keja me ningekuanga tenant
Me nilinyimwangwa kitambi nikapewa dick bazenga
Cheza kwa hii rodi uchotangwe na tinga tinga
Eh orea okaha gore
Mmh timie thogihota kodea
Ukidai ntakutembelea
Mmmh no me sidai nina chali hutadai hapa

Oooh
Munawacheza sana cheki tu mpaka wanazirai
Noooo
Hunwezinfanya choma mi huwezinfanya chipsy aaaiii
Mi nah wan, mi nah wan, mi nah wan no mediocre
I wanna catch a vibe na ka hauna we ondoka
Anataka ku slide na nimefunga duka
Haiwezekani hata awashe doba

Credits
Writer(s): Edward Kimachu Irungu
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link