Muujiza

Si kwa bati mbaya uko hai leo
Na sio kwamba wewe ni-mujanja kuliko wale walio lala
Ila yote ni muujiza ya Mungu tu
Ni muujiza tu
You're still alive

Nikilala niamke
Mkiona natembea
Mwenzenu kwangu ni muujiza
Asubuhi kuna kunakucha
Jioni ikiingia
Maisha yangu, mimi ni muujiza tu

Siku ikipita
Mwezi na mwaka unakwisha
Mimi hee kwangu ni muujiza tu
Eeeeh Yesu, eeeh Yesu
Bwana wangu weeh
Weeh kwangu ni muujiza

Mimi ni muujiza
Maisha yangu ni muujiza
Eh Bwana
Weeh kwangu ni muujiza
Nikilala ni muujiza (muujiza)
Nikiamuka ni muujiza (naona muujiza)
Eh Bwana, wewe kwangu ni muujiza

Kuna waliolala
Hawakuamka
Eh Bwana, naona ni muujiza
Walionza safari
Hawakufika
Mimi leo, najiona ni muujiza
Kuwa hai
Kutangaza neno lako
Bwana kwangu, mimi ni muujiza
Sina sababu
Ya kunyamaza
Maana kwangu, wewe Bwana ni muujiza

Mimi ni muujiza (muujiza)
Maisha yangu ni muujiza (inapita muujiza)
Eh Bwana (eeh Bwana)
Weeh kwangu ni muujiza (eeh Bwana, muujiza)
Nikilala ni muujiza (eeh muujiza)
Nikiamuka ni muujiza (whoo)
Eh Bwana (ooh-oh)
Wewe kwangu ni muujiza (eeh yea)

Oh yea
Oh yea
Oh Yesu weeh
Oh yea
Oh Yesu weeh
Yesu wangu, oooh
Hey yea yea yea

Mimi ni muujiza (muujiza)
Maisha yangu ni muujiza (inapita muujiza)
Eh Bwana (eeh Bwana)
Weeh kwangu ni muujiza (kila kitu ni muujiza)
Nikilala ni muujiza (eeh, ni muujiza)
Nikiamuka ni muujiza (nasema ni muujiza)
Eh Bwana (eeh Bwana)
Wewe kwangu ni muujiza
(Hey yea yea yea yea yea yea yea)

Mimi ni muujiza (muujiza)
Maisha yangu ni muujiza (inapita ni muujiza)
Eh Bwana (muujiza)
Weeh kwangu (muujiza) ni muujiza (muujiza, eeh Bwana)
Nikilala ni muujiza (muujiza!)
Nikiamuka ni muujiza
Eh Bwana (eeh Bwana)
Wewe kwangu ni muujiza



Credits
Writer(s): Christina Shusho
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link