Hesabu

Nimehesabu, Nakuhesabu
Nimehesabu, Nakuhesabu
Nimeongeza na kutoa
Nikazidisha na kugawanya
Nimeona ni wewe, Yesu ni wewe tu
Nimeona ni wewe eh, Yesu ni wewe tu
Hakuna mwingine ni wewe, Yesu ni wewe tu
Pekee yako ni wewe eh, Yesu ni wewe tu
Hesabu zote nilizofanya
Nimeona ni wewe tu
Pekee yako ni wee
Niwewe Yesu ni wewe tu
Mwanzo mwisho ni wee
Niwewe Yesu ni wewe tu
Mungu Yesu ni we eeh
Niwewe Yesu ni wewe tu
Nikikumbuka, ulikonitoa
Nikikumbuka uliyonitendea
Ninakumbuka magonjwa uliyoniponya
Ninakumbuka vita uliyonipigania
Ninakumbuka safari umenitembeza
Ninakumbuka yale Mungu uliyotenda
Oooh ninasema niweee
Bwana ninasema ni wewe tu
Niwewe niweeee
Yesu wewe ni wewe tu
Umetenda haya niweee
Eeh wewe niwewe tu
Hakuna mwingine awezaye
Niweee... eeh Bwana ni wewe tu
Nani awezaye kutenda uliyotenda bwana
Nani angelipa gharama uliyonilipia
Kumbe si wenye mbio washindao michezo
Wala walio hodari washindao vitani
Nimeona watumwa wakipanda farasi
Eeh Bwana
Wala si wenye hekima wapatao chakula
Bwana
Nimejumilisha, nimetoa, nikazidisha, nikagawa
Weweee... sijaona mwingine eeh bwana
Niweeee. Niwewe tu
Niwewe Bwana (ni weee)
Oh Niwewe eh (ni wewe tu)
Umetenda haya (ni weee)
Oh Niwewe eh (ni wewe tu)
Umefanya yote (ni weee)
Oh Niwewe eh (ni wewe tu)
Niwewe Bwana (ni weee)
Oh Niwewe eh (ni wewe tu)
Umetenda haya (ni weee)
Oh Niwewe eh (ni wewe tu)
Sifa zote ni zako (ni weee)
Oh Niwewe bwana (ni wewe tu)
Ooh ni wewe Yesu (ni weee)
Oh Niwewe eh bwana (ni wewe tu)
Niweeee. Niwewe tu



Credits
Writer(s): Christina Shusho
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link