Kuskia Poa

Leo ni kuskia poa
Ata kaa unaokoa
Kile ukonacho
Ndugu yangu we toa
Form ikijipa
Amka katikaaa
Kile unataka ndugu yangu we itisha

Kuskia poa ndio form na mtindo
Namjua poa na ananionyesha maringo
Form mi utoa na okoa niko single
Madam situmingle
Kiuno kwa mdundoo
Kuskia poa ndio form na mtindo
Namjua poa na ananionyesha maringo
Form mi utoa na okoa niko single
Madam situmingle
Kiuno kwa mdundoo

Kuskia poa kwangu imekuwa mtindo
Kagani kako single kakuje hapa tu mingle
Kenye kameoga
Kenye kanapenda usafi
Juu mi ni mdirty lazma nichambue mali safi
(Aaiiiii)
Jaba kilo mbili mi ndio grinding machine
Form ikijipa ni location unapin
Kisuti kindege luku lazima utatiii
Watoto ni wengi wauniitanga Dzaddy
Paka kaluma kama inauma
Juu vile tulianza usithani tunarudi nyuma
(Eheee)
Angry panda kuaribu
Doba tunawatibu
Si wako lakini songa na ye juu ako karibu

Kuskia poa ndio form na mtindo
Namjua poa na ananionyesha maringo
Form mi utoa na okoa niko single
Madam situmingle
Kiuno kwa mdundoo
Kuskia poa ndio form na mtindo
Namjua poa na ananionyesha maringo
Form mi utoa na okoa niko single
Madam situmingle
Kiuno kwa mdundoo

Mangoko waunikuta wakidai niwasuke
Napiga nakusonga inabaki ni washtukee
Napiga twa twaa
Nawacha kumelipuka
Mbaka na fwatwaa
Nawacha kumelipuka
Aluta ni ya mathao ndio mi hupiga nazo order
Mistari ni kibao zingine naweza offer
Miushikisha na mbogi tukipimanga the weather
Meza na chafua waiter anaita waider
Madam akilegeza teke minamkemba
Vile kameweza kamebeba mayezza
Natoka kasarani
Kuomoka natamani
Big up kisirani
Ndugu yangu fulani

Kuskia poa ndio form na mtindo
Namjua poa na ananionyesha maringo
Form mi utoa na okoa niko single
Madam situmingle
Kiuno kwa mdundoo
Kuskia poa ndio form na mtindo
Namjua poa na ananionyesha maringo
Form mi utoa na okoa niko single
Madam situmingle
Kiuno kwa mdundoo

Nina daktari hunitibu
Nakotini ye ndo katibu
Minaskia poa sio aibu
Nikuaribu kuaribu



Credits
Writer(s): Eugene Oyoo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link