Kanungo

Funga beat
Iwachome
Ju ni hit
Atawajaribu videvu atuwezi beat
Ati chuchuuu
Na kama kawa siunajua
Angry panda under mickey

Nikatikie kanungo baby aah
Nikatikie kanungo baby aah
Nikatikie kanungo baby aah
Jiachilie chezesha kiuno mbeiby
Nikatikie kanungo baby aah
Nikatikie kanungo baby aah
Nikatikie kanungo baby aah
Jiachilie aaah
Nifurahie aaah

Tetemesha iyo mwili nika umepigwa na na naradi
Na vile uko there rada ni safi
Chokesha misuli tutatuliza na na naratish
Alfu ndio uzidundishe na kasi
Simama inama touch your toes
Penduka kidogo ukibend and pause
Napenda magoshodo waunichezeshea twisti
Apo manyu nasimama nasimamisha twisti
Wekelea mguu Juu ya kiti
(Apo juu)
Jiachilie ndo zitingike vifiti
Leo ni Leo na magoshodo waringi
Asanta
kwanza vile wamekuja kwa wingi
Mwendo wako unaezafanya mbaka nishikwe na kichaa
Na vile unazungusha
Nakwambia niko idhaa
Watoto wameweza watamu kama supu ya pweza
Tukimaliza wataeleza

Nikatikie kanungo baby aah
Nikatikie kanungo baby aah
Nikatikie kanungo baby aah jiachilie chezesha kiuno mbeiby
Nikatikie kanungo baby aah
Nikatikie kanungo baby aah
Nikatikie kanungo baby aah
Jiachilie aah
Nifurahie aah

Chuu!!
Akikubali iyo ndo size mi napenda (Size yangu)
Akiitisha atakaa ni dadako nakemba
Ka kamechapa sichapi naachia ma champe
Wabaki wakijuanga apa akunanga kompe
Mi ndio kusema itabidi umeniaminia
Izo pembe kaa magugu ntazipalilia
Manyanga itakubeba lakini ntakupandilia
Nikubwa lakini itabidi umevumilia
Nataka marijuana na gari inaeza beba Rihana
Nataka nizitoke ju bado ni talanta
Kati kati kanungo for me aah
Sema sema
Say no more baby (Say no more baby)
Si ndo ma king kwa ma bit Feel this
Chuu chuuu
Tuko ndani tuko nditni
Shukanayo teremsha mi nakuamini
Mafans one love
Kwa kutu amini

Nikatikie kanungo baby aah
Nikatikie kanungo baby aah
Nikatikie kanungo baby aah
Jiachilie chezesha kiuno mbeiby
Nikatikie kanungo baby aah
Nikatikie kanungo baby aah
Nikatikie kanungo baby aah
Jiachilie aah
Nifurahie aah



Credits
Writer(s): Eugene Oyoo
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link