Inanimaliza (feat. Mr Blue)

First time when I saw you
Nilitamani nikueleze
How I feel
That was dream come true
Alau macho nikukonyeze maybe you can feel
Asuu
Moyo ungekuaga kitabu ningefunia uone yaliyomo ndani
Yani mwenzako napata tabu
Sina furaha ata tone
Nioneege imani oh my love oooh

Macho yanaona kama umejibu yes,
Moyo unaona kama umeseme no ooh ooh
Macho yanaona kama umejibu yes,
Moyo unaona kama umesema no oooh nonono yeah

Kusema kweli mi inaniumiza
Inanimaliza
Na sijamaliza
Inaniumiza
Inanimaliza
Na sijamaliza

Baylon easy
Yeah ah
Chibonge nimekua kibaombao
Ghafla chui nimekua kinyau nyau
Mpaka sijui nayosema nimesahau
Vita ya penzi imekua kama maumau
Nikiona sura nakonda
Nikiona chura nasindwa kubonga
Nakua mbulura masikini omba omba
Kutwa nazurura kutuliza kidonda

Maumivu kama yangu anayo Konde Boy
Namtuliza mwanangu ahh usikonde boy
Macho yanaona yes akili inasema no nooo atakukazia

Macho yanaona kama umejibu yes
Moyo unaona kama umeseme no ooh ooh
Macho yanaona kama umejibu yes
Moyo unaona kama umeseme no no nonono

Yeah kusema kweli mi
Inaniumiza
Inanimaliza
Na sijamaliza

Inaniumiza
Inanimaliza
Na sijamaliza



Credits
Writer(s): Rajab Kahali
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link