I Miss U

Yao yao
Black prince on the beat
Yeah yea, yeah yea
Yeah yea, yeah yea

Only you in my mind
Nahisi mwingine hakuna
Kwenye hii dunia

I don't know what you do
Never mind
Hata salamu unauchuna
Vimeseji nikikutumia

Ingawa silijui kosa
Ila fanya unisamehe
Umeniadhibu vya kutosha
Japo imani nionee

Oooh babe nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita
Ipo siku nitaitika

Oooh nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita
Ipo siku nitaitika my babe

I miss you
I miss you

Ukiona mtu mzima ma
Analia ujue kuna jambo (I miss you)
Maji hayapandi mlima ma (aah aah aah)
Mi kiwete siwezi kwenda ng'ambo (I miss you)

Nilisacrifice my love for you (oh oh oh)
Leo unaniona sifai na matusi juu (oh oh oh)

Natamani urudi mama
Ila siwezi kukufosi fosi
Punguza makusi drama
Hizo mbwembwe na viposti posti

Kutwa nashinda Insta
Nazitazama zako picha
Usiombe bando likiisha
Mi mpweke ila yote tisa

Oooh nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita
Ipo siku nitaitika

Oooh nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita
Ipo siku nitaitika my babe

I miss you
I miss you

Ukiona mtu mzima ma
Analia ujue kuna jambo (I miss you)
Maji hayapandi mlima ma (ah ah ah)
Mi kiwete siwezi kwenda ng'ambo (I miss you)

Nikilala naota
Naota kama unaniita
Ila nafsi inasita mpenzi
Ipo siku utaitika

Nikilala naota (nikilala naota)
Naota kama unaniita (naota kama unaniita)
Ila nafsi inasita mpenzi (ila nafsi inasii)
Ipo siku utaitika



Credits
Writer(s): Rajab Kahali
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link