Jidai (feat. Nyashinski)
Ai ai ai (haha)
Yeah (najidai)
Ha ha
Beat yenyewe ni ya mtu mzima hii
(ai ai ai)
Najidai
Ladies and gentlemen
(wooh)
Once again (najidai)
Haikai ka ni round two (haikai ka ni round two)
Najidai
Ni Nameless
Anajidai
Nyashinski
Anajidai
Na nyinyi
Unajidai
Na mimi
Mi najidai
(Wooh)
Najidai
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najida (Najidai)
Definition ya kujidai
Ni kuhave the highest point of your body
Shall be your mapua
Yani
Unaiweka juu
As if unataka kuwanusa tuu
Ama unakunja hio sura
Mpaka hizo vichwa zinafura
Ka mandazi
Yani
Round hii
Ni kujidai
Wazi wazi
Na uhakikishe umeiva kama diva
Kujiskia as if unaown hii ni -
Ati nani anaown hii ni -
Have you ever heard of a junior achiever
Hio ndio feeling natafuta
Yani shining ka mafuta
Na mafans tukipita nawajua
Ni pleasure tu
Ninakuwa sure
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najidai (Najidai)
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najidai (najidai)
Roundi hii najidai (round hii najidai)
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najida (najidai)
Na kwa wale emcees walizaliwa juzi
Mukikutana na mimi
Piga saluti
Nimekula chumvi ki-emcee
Na sasa natafuta masters kama -
Eti mulitudiss
Na sisi bado tunaendelea kuwa dis-miss
Bado munapiga show mbele ya kioo
Sisi tukiunda doh
Uliza Klepto
Na madame wetu wako poa
Cheki vile wanajipodoa podoa
Lakini bro usiambie Wahu
Si unajua ni kujidai tuu
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najidai (najidai)
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najidai (Najidai)
Roundi hii najidai (round hii najidai)
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najida (Najidai)
Na naitoa live kama Larry King
Sa mtani-saliva ama mtanisalamu kama salimin
Nyashinski Nameless collabo ni hot ka
Cardigan hit ni ka bomb za taliban
Nawachezea tu
Kaa kando uskie
Vile mziki hufanywa inaeza kubamba ama uishie
Mpaka udeadi utakuwa tu player hater
Mi mpaka nidie si nitameta meta
Nimeandika mpaka mistari imejaa
Saa nafaa kuanza kuchora macaricature
Ka Gaddo najidai ju hujanigusa bado
Weh tuktuk na mi Landcruiser Prado
Tutarace aje
Lord Lord you're so slow
I'll make you look so horrible
Hii si mara ya kwanza kuniskia
Nyashinski jina maringo mi hujiskia
Oh
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najidai (najidai)
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najidai (Najidai)
Roundi hii najidai (Round hii najidai)
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najida (Najidai)
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najidai (Najidai)
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najidai (najidai)
Roundi hii najidai (round hii najidai)
Round hii najidai
Ata kama sijawai
Najida
Najidai
Madame wako powder
Na machali wako dust off your shoulder (shoulder)
Madame wako powder
Na machali wako dust off your shoulder (shoulder)
Madame wako powder
Na machali wako dust off your shoulder (shoulder)
Madame wako powder
Na machali wako dust off
Dust off your
Dust off your shoulder (shoulder)
Yeah (najidai)
Ha ha
Beat yenyewe ni ya mtu mzima hii
(ai ai ai)
Najidai
Ladies and gentlemen
(wooh)
Once again (najidai)
Haikai ka ni round two (haikai ka ni round two)
Najidai
Ni Nameless
Anajidai
Nyashinski
Anajidai
Na nyinyi
Unajidai
Na mimi
Mi najidai
(Wooh)
Najidai
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najida (Najidai)
Definition ya kujidai
Ni kuhave the highest point of your body
Shall be your mapua
Yani
Unaiweka juu
As if unataka kuwanusa tuu
Ama unakunja hio sura
Mpaka hizo vichwa zinafura
Ka mandazi
Yani
Round hii
Ni kujidai
Wazi wazi
Na uhakikishe umeiva kama diva
Kujiskia as if unaown hii ni -
Ati nani anaown hii ni -
Have you ever heard of a junior achiever
Hio ndio feeling natafuta
Yani shining ka mafuta
Na mafans tukipita nawajua
Ni pleasure tu
Ninakuwa sure
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najidai (Najidai)
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najidai (najidai)
Roundi hii najidai (round hii najidai)
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najida (najidai)
Na kwa wale emcees walizaliwa juzi
Mukikutana na mimi
Piga saluti
Nimekula chumvi ki-emcee
Na sasa natafuta masters kama -
Eti mulitudiss
Na sisi bado tunaendelea kuwa dis-miss
Bado munapiga show mbele ya kioo
Sisi tukiunda doh
Uliza Klepto
Na madame wetu wako poa
Cheki vile wanajipodoa podoa
Lakini bro usiambie Wahu
Si unajua ni kujidai tuu
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najidai (najidai)
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najidai (Najidai)
Roundi hii najidai (round hii najidai)
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najida (Najidai)
Na naitoa live kama Larry King
Sa mtani-saliva ama mtanisalamu kama salimin
Nyashinski Nameless collabo ni hot ka
Cardigan hit ni ka bomb za taliban
Nawachezea tu
Kaa kando uskie
Vile mziki hufanywa inaeza kubamba ama uishie
Mpaka udeadi utakuwa tu player hater
Mi mpaka nidie si nitameta meta
Nimeandika mpaka mistari imejaa
Saa nafaa kuanza kuchora macaricature
Ka Gaddo najidai ju hujanigusa bado
Weh tuktuk na mi Landcruiser Prado
Tutarace aje
Lord Lord you're so slow
I'll make you look so horrible
Hii si mara ya kwanza kuniskia
Nyashinski jina maringo mi hujiskia
Oh
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najidai (najidai)
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najidai (Najidai)
Roundi hii najidai (Round hii najidai)
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najida (Najidai)
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najidai (Najidai)
Round hii najidai (eh ah)
Ata kama sijawai
Najidai (najidai)
Roundi hii najidai (round hii najidai)
Round hii najidai
Ata kama sijawai
Najida
Najidai
Madame wako powder
Na machali wako dust off your shoulder (shoulder)
Madame wako powder
Na machali wako dust off your shoulder (shoulder)
Madame wako powder
Na machali wako dust off your shoulder (shoulder)
Madame wako powder
Na machali wako dust off
Dust off your
Dust off your shoulder (shoulder)
Credits
Writer(s): Nyamari Ongegu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.