Furahiday (feat. Nonini)
Nonini (eh)
Another homeboys productshizzle
Whaat (whaat)
Leo niko na nani jamaa
Leo niko na nani jamaa
Niko na
Ni furahiday
Okay
Cheka na mi ka unajua unafeel poa
Cheka na mi ka weh ni bachelor na hujaoa
Cheka na mi ka umekunywa na unakojoa
Usicheke na mi ju sababu leo ma pesa ntatoa
Jamaa leo network blunder
Jam saa kumi na moja ndo ilianza
Kwani leo ndo kila mtu hupiga simu
Ni Friday siku ni lazma tuiheshimu
Shika mtoto wako umueke karibu nawe
Beshte yako mnunulie beer pia naye
Mtu akileta noma hapa pigana naye
Manzi akileta maringo joh achana na yeye
Kuta mwingine mwambie nipe nawe
Condom kibao joh usinikazie weh
Safi twende ndani ya ndai manze
Bora usiwe mtaro I say
Nameless joh nliskia ana yake
Mi walinikazia itabidi nimetumia tu masachet
Kenya officially niliwafanya drinking nation
Na kila Friday joh huwa ni vacation
Kuchoma nyama ndo kitu ya kwanza
Ushibe vipoa kiugali ndo usiwake haraka
Kuchoma maini ndo kitu ya pili
Na hii furahiday tunaianzisha mapelee
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
Ni kama saa kumi ya jioni
Kuna kitu inasumbua rohoni
Niko job niko ndani ya ofisi
And I'm feeling kind of uneasy
Ninaanza ku-perspirate
Veins zangu zina-vasodilate
I seem to be allergic to something
Or something is allergic to me
Najaribu kucommunicate to my friends lakini ata masms haziendi
Naangalia nje ya dirisha
Na magari ndio hizo
Bumper to bumper
Ata mdosi hajiskii na kazi madame wote ofisi wamevaa minisketi
Kwani Nonini ni nini today
OHH OKAY
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
Friday (okay)
It's Friday (okay)
Ni Friday (okay)
It's Friday (okay)
Ya mbele inaanza kutubamba saa ngapi
Na mamanzi leo unawaleta ka wangapi
Ukicome na wale matwins mambo safi
Nyundo leo inashikana na makabati
Friday kabla nitoke lazma nikuwe nimevaa joh
Huwezi jua naeza angukia dame vaajoh
Na hawa manzi hawapatikani kwa bar joh
Tumbo inakuleta chukua gazeti joh
Jibanze na ujisunde nayo kwa choo
Na ikikataa kwenda maji tu kwa ndo
Cruising kwa gari napitia Koinange
Kula na macho tu mzee unaonaje
Usione vile watoto huwaga wamejirembesha
Na kwa club wanaume ndio hao wanawachekesha
Friday vitu hufanyika joh huwaga zinanshangaza
Wasichana kwanza vile huwaga wanazisambaza
Lakini hakuna shida ni Friday tena
Sahau shida zako zote na uanze kucheka
Leo ikurarukie ikubamba hakuna haja ya kuteta
Bora tu mfukoni mzee umejaa mapesa
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
Its okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
Friday (tuna, tuna tunavasodilate)
Its Friday (tunaperspirate)
Ni Friday (tunavasodilate)
Its Friday (tunaperspirate)
Ka ni Friday na unajua umeoa
Pete joh lazima utatoa
Ka ni Friday na unajua umeoa
Pete joh lazima utatoa
Ka ni Friday na unajua umeoa
Pete lazima joh utatoa
Nonini na Nameless
Ni Furahiday
Another homeboys productshizzle
Whaat (whaat)
Leo niko na nani jamaa
Leo niko na nani jamaa
Niko na
Ni furahiday
Okay
Cheka na mi ka unajua unafeel poa
Cheka na mi ka weh ni bachelor na hujaoa
Cheka na mi ka umekunywa na unakojoa
Usicheke na mi ju sababu leo ma pesa ntatoa
Jamaa leo network blunder
Jam saa kumi na moja ndo ilianza
Kwani leo ndo kila mtu hupiga simu
Ni Friday siku ni lazma tuiheshimu
Shika mtoto wako umueke karibu nawe
Beshte yako mnunulie beer pia naye
Mtu akileta noma hapa pigana naye
Manzi akileta maringo joh achana na yeye
Kuta mwingine mwambie nipe nawe
Condom kibao joh usinikazie weh
Safi twende ndani ya ndai manze
Bora usiwe mtaro I say
Nameless joh nliskia ana yake
Mi walinikazia itabidi nimetumia tu masachet
Kenya officially niliwafanya drinking nation
Na kila Friday joh huwa ni vacation
Kuchoma nyama ndo kitu ya kwanza
Ushibe vipoa kiugali ndo usiwake haraka
Kuchoma maini ndo kitu ya pili
Na hii furahiday tunaianzisha mapelee
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
Ni kama saa kumi ya jioni
Kuna kitu inasumbua rohoni
Niko job niko ndani ya ofisi
And I'm feeling kind of uneasy
Ninaanza ku-perspirate
Veins zangu zina-vasodilate
I seem to be allergic to something
Or something is allergic to me
Najaribu kucommunicate to my friends lakini ata masms haziendi
Naangalia nje ya dirisha
Na magari ndio hizo
Bumper to bumper
Ata mdosi hajiskii na kazi madame wote ofisi wamevaa minisketi
Kwani Nonini ni nini today
OHH OKAY
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
Friday (okay)
It's Friday (okay)
Ni Friday (okay)
It's Friday (okay)
Ya mbele inaanza kutubamba saa ngapi
Na mamanzi leo unawaleta ka wangapi
Ukicome na wale matwins mambo safi
Nyundo leo inashikana na makabati
Friday kabla nitoke lazma nikuwe nimevaa joh
Huwezi jua naeza angukia dame vaajoh
Na hawa manzi hawapatikani kwa bar joh
Tumbo inakuleta chukua gazeti joh
Jibanze na ujisunde nayo kwa choo
Na ikikataa kwenda maji tu kwa ndo
Cruising kwa gari napitia Koinange
Kula na macho tu mzee unaonaje
Usione vile watoto huwaga wamejirembesha
Na kwa club wanaume ndio hao wanawachekesha
Friday vitu hufanyika joh huwaga zinanshangaza
Wasichana kwanza vile huwaga wanazisambaza
Lakini hakuna shida ni Friday tena
Sahau shida zako zote na uanze kucheka
Leo ikurarukie ikubamba hakuna haja ya kuteta
Bora tu mfukoni mzee umejaa mapesa
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
Its okay (okay)
Ni furahiday
It is okay (okay)
Ni furahiday
Friday (tuna, tuna tunavasodilate)
Its Friday (tunaperspirate)
Ni Friday (tunavasodilate)
Its Friday (tunaperspirate)
Ka ni Friday na unajua umeoa
Pete joh lazima utatoa
Ka ni Friday na unajua umeoa
Pete joh lazima utatoa
Ka ni Friday na unajua umeoa
Pete lazima joh utatoa
Nonini na Nameless
Ni Furahiday
Credits
Writer(s): David Mathenge
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.