Tafuta pesa
(Ahhhhhh)
(Yeah)
(Kombo)
(Aaahh aahhh)
(It's all about money)
(Yeah)
Aahhh (can you feel dat)
(Eehh)
(I know you feel me)
(12code watsapp)
Ahhhh (yeah)
Yeah
Hustle hard, get mulla nigga get pesa
Bila ya mavumba, utaona hii dunia inakutesa
Kumesha kucha, usilale babaake nigga weka
Ukisaka we zisave, siyo tu kupombeka
Mpaka sasa maisha, yashakupiga moja bila
Hauwezi imba, hump in ma Maserati Olakira
Saka michongo huipate, saka tu kwa hasira
Kaza gairi kufa, Dulla Makabila
Siyo maskani, unakaa ma nigga
Siyo maskani, unakaa kijinga
Mkwanja husaki, unakaa kimbwiga
Usiwe ka kolo, pambana kininja
Mucho, 12code, Mtwara town unyamani
In the city i dont from, all i care about is money
(Tunasaka pesa) hatujari we ni nani, hatuwazi we ni nani
(Tafuta pesa) usibweteke nyumbani, usichill maskani
(Tunasaka pesa) hatujari we ni nani, hatuwazi we ni nani
(Tafuta pesa) usibweteke nyumbani, usichill maskani
(Tunasaka pesa)
Nipo kitaa, nazitafuta pesa
Kila duel, ikija kwangu napeta
Mchongo ukitick, huwa nanesa
Wana kitaa, wananiita Mapesa
Vile natafuta pesa, kisha nihandle hizo chuki za hater
Nikiwa counter, naendeshwa waiter
Mzigo ukikata, waiter leta
Bill, itafwata later
Yeah tafuta pesa, stay strong just be dream chaser
Nicheki kwa simu, ama kwa letter
Niko na team, na mi ndiye mentor
Come closer, we mrembo Vanesa
Karibu kwa game, tumake mapesa
Washkaji ma lazy, cheki wana sepa
Hili goma wanabang, from now to later
Yeah, tafuta pesa feel be better, feel be better
Cause my money, make me stronger
Toka kitambo, me niko nasonga
I make my money, we uko skonga
Hauna michongo, ni mwendo wa kinyonga (mwendo wa kinyonga)

(Haaaahhh haaaahhh)
(12code)
(Yeah)
(The Rap Benedict)
(Tafuta pesa)
(Heeeehhh heeeehhh)
(Mucho Flows)
(Yeah)
(Stebo Layzer)
(Tunasaka pesa)
(Heeeehhh heeeehhh)
(Tafuta pesa, tafuta pesa)
(Tafuta pesa, tafuta pesa)
(Heeeehhh heeeehhh)
(Cause money can bring anything)
(Tunasaka pesa)
(Wooohh)
(Kombo, heeeehhh)
(Swahilimusic)
Tunasaka pesa

Credits
Writer(s): Godfrey Milanzi
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.