Mizuka
(Dully B the touch, the touch)
12code, heehh heehh
The Rap Benedict
(Sometime na mizuka, na mizuka yeeiyee eehh)
(Na wanangu wanaruka, na hizi kiki ndiyo zinaleta mizuka iiyee)
Let's get in
By the time nime drop here, in God fear
Na mizuka ya play, and i play like a Shake Spear
Dully B near, yeah kanibless ngoma nami naishi nayo and i won't fear
Sa sikia uliachia heat, nami sijaisikia
Nahisi pia, imelose heat at max pia
My dear tofauti yetu, leo na kesho
Show nauwa ghetto, mwanangu unapiga
Yeah shabiki ni mmoja, shangwe dakika ya 90
Mzuka ukipanda, ana screem kama nini
Ana strip kwenye pitch eehh, anapanda mpira
Morrison anajuwa kukera, akiwa na mpira
Yeah mzuka ukipanda, wanangu nawapa porrige
Knowledge, burudani, skills plus courage
Fool age ndiyo inafanya fools, kuwa front page
Mizuka ikizidi, ndiyo inafanya wana lose range
Main stream naona jamaa, wako na best move
Let's move, mizuka ishapanda and we make move

Sometime na mizuka, nikiwa chimbo ndiyo inazidi tu kushuka iyee (eehh)
Na wanangu wanaruka, na hizi kiki ndiyo zinaleta mizuka iiyee
Watu eehhh eehh eehhh eehh, watu eehhh eehh eehhh eehh
Watu eehhh eehh eehhh eehh, watu eehhh eehh eehhh eehh (aahhh aaahh)
Mzuka umefanya, niachie kazi na iwe next level
Rap eagle, kunishusha kazi, na inahitaji uwezo
Kuandika sio kazi, kazi kunyoosha maelezo
Cause level, ndiyo inanipa move to the bigs level
Let's go, till the crew got the best flow
Hey bro, mzuka ushapanda, let's make doh
Here we go, from downlow to tha top joe
And tha top joe, gimme a power, money plus big bro
Mzuka, unafanya niwe chimbo for the music
And good news, music ndiyo inanipa clean shit
Let switch, swagg, na mizuka na iwe okay
Moko wa miujiza, na nitatoka kivyovyote
All day, mizuka inapanda na kushuka
For the music, wapo waliopanda na kuanguka
Ila bado nipo incredible, terrible, here we go
12code na mizuka, high skill lyrical
Bado nipo incredible, terrible, here we go

Ona naahh naahh, yeee iyeee ehhh eeh
Oh onaaahhh yeehh, iyeeeehh eeehh

(Prince music, Prince music)

Credits
Writer(s): Godfrey Milanzi
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.