Oya Oya

Aah aaah aah...
Oh ayoo, ooh ayoo ayoo ooh
Eeh eeh... Mmmmmh
(Yogo on the Beats)

Chovya choyo
Uko ng'ari ng'ari mama
Wa majuu
Ushakukubali moyo

Nakuita eh, nakuita
Nisikie mami
Makopa makopa yanajiita
Jina lako nani?

We ni moko, limenipotosha
Nikutingie moka, tai na suti eh
We kocha kocha, hatari na nusu
Nafunganga moko, dakika buku

Kama kupenda nimedhaminia kwako
Sa oya oya
Naheshimu mapenzi kutoka kwako
Sa oya oya

Nikuoe ndo uone mama
Sa oya oya
Na ni mwendo wangu ooh
Mama ooh

Oya oya eh
Oya oya eh
Oya oya eh
Oya oya aah

Navimba najiona mwamba
Kwenye mboni siruhusu chongoma yoo
Yaani kama noma na iwe noma yoo
Waonyeshe kipenzi changu cha ngama yoo

Waite yoo
Waite ite
Waite yoo
Waite ite

Waite ite
Waite ite ite aah
Waite oooh
Waite te yoo

Nakuita eh, nakuita
Nisikie mami
Makopa makopa yanajiita
Jina lako nani?

We ni moko, limenipotosha
Nikutingie moka, tai na suti eh
We kocha kocha, hatari na nusu
Nafungaga moko, dakika buku

Kama kupenda nimedhaminia kwako
Sa oya oya
Naheshimu mapenzi kutoka kwako
Sa oya oya

Nikuoe ndo uone mama
Sa oya oya
Na ni mwendo wangu ooh
Mama ooh

Oya oya
Oya oya eh
Oya oya
Oya oya aah



Credits
Writer(s): Omary Mwanga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link