Tamba (feat. Tommy Flavour, K2ga & AbduKiba)

Yaaaaaah
Ooooooooh
E eeeeeeeh
Oooooooo
Mmmmmmh
Yogo on da

You have cute face
Kama mazima umefanana na mimii
Oooh Mwenyezi kani bless
Nasimama wima bwana baba ndio mimi
Eeh ngoja kwanza dokta nesi mmmmh
Moyo wanienda resi
Nilingoja miaka miezi oooh
Furaha yangu kipenzi

Nilijitoa kwa hali oh, for you baby
Nipoteze zangu mali eh, for you baby
Nachinja mbuzi asali oh, for you baby
Leo nafuta dosari eh, for you baby

Asante Mungu wangu weeh
Kwa kuniheshimisha umemstiri na mke wangu oh
Vidudu mtu leo twakera
Wamekosa la kusema leo tamba mke wangu

Aaah aaah aaaah aaaah eeeeeh
Naionyesha hadharani hii furaha
Iliyo ndani yangu ah
Leo nimempata pacha
Pachaa pachaa wa damu yangu
Na sio swala dogo kupata mtoto ni barakaa
Licha ya tendo kufanywa na wengi
Na wachache ndo hupata
Ajabu wanatokwa na povu
Marafiki na ndugu waliokuimbia tarabu
Roho roho zao zimejawa makovu
Kutwa kupiga majungu
Wamepoteza thwawabu

Nilijitoa kwa hali oh, for you baby
Nipoteze zangu mali eh, for you baby
Nachinja mbuzi asali oh, for you baby
Leo nafuta dosari oh, for you baby

Asante Mungu wangu eeh
Kwa kuniheshimisha umemstiri na mke wangu
Vidudu mtu leo twawakera
Wamekosa la kusema leo tamba mke wangu

Ivi sasa nachokithamini
Nilalee mwanagu
Nikulee kwa nguzo za dini
Nilalee mwanangu
Nikoradhi nilale chini
Nilalee mwanagu
Ujihisi raha ukiwa na mie
Nilalee mwanangu

Basi kama una vibe tikisha hata kichwa
Tikisa tikisa tikisa tikisa tikisa
Mama shangazi tikisa hata kichwa
Tikisa tikisa tikisa tikisa tikisa
Hata Kama una kitambi tingisha hata tumbo
Tingisha tingisha tingisha tingisha tingisha
Baba mujomba tikisa hata kichwa
Tikisa tikisa tikisa tikisa tikisa
Jamani ma wifiiiii



Credits
Writer(s): David Maganga, Ally Kiba, Tomath Bishanga, Karim Rashid, Abdul Kiba
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link