Gangster Memes

Kuna bash kwangu na ako ndethe
Huyo ni nani ni Munga ni mimi
Cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh
Anaweza mawezere wezere
Unabonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Unabonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes

Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster
Ati unabonga gangster na uko na memes

Ooh Dodo, Dosh
Niko sema nilipata missed calls
Mi huzima tenje niko riko
Hohohoho
Alah! kabisa walichora
Wali agree nilikwara
Next door neighbour

Alibadilisha simu after Covid
Wah!
Nategea teo wangwa
Street life ni curriculum
Nangojea exams Munga nimeichambua

Kuna bash kwangu na ako ndethe
Huyo ni nani ni Munga ni mimi
Cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh
Anaweza mawezere wezere
Unabonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Unabonga gangster na uko na memes

Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster
Ati unabonga gangster na uko na memes

Sa mbona ni, unja ni
Piga mboka mpka mtaani
Dunga ngithe pesa money
Bonya ugali mpaka maini
Cheza rwimbo cheza chini
Ughaibuni, ughaibuni kwa wahuni

Kuna bash kwangu na ako ndethe
Huyo ni nani ni Munga ni mimi
Cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh
Anaweza mawezere wezere
Unabonga gangster na uko na memes

Ahahahaha, aiyayayaya
Ndo iyo ndo iyo
Leta
Bonga gangster na uko na memes
Unabonga gangster na uko na memes

Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster
Ati unabonga gangster na uko na memes



Credits
Writer(s): David Munga Ramadhan
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link