Blow me Kisses

Blow me kisses whichever distance we zirushe
Hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona
Kila kitu chako napenda

Blow me kisses whichever distance we zirushe
Hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona
Lakeside woman, lakeside woman

Yoh nikibuy Vodka Whiskey ndo chaser
Kuna line flani Munga nadai kurudia tena
Nina deng'a kwa vip Rashid Echesa
Hii ndio line siwezi kuwa mcooperative na tellers

Mresh ameoga na haringi
Naitwanga rasta mi sina ya bingii
Corona virus na siko China
Man nimekam thru na a simple like man

Ulinifanya nithrive
Nakupenda uko kwa mawazo siku hizi si rhyme
Nilikupenda sana btw thanks
After kukuwa my partner in crime

Blow me kisses whichever distance we zirushe
Hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya anawaza mbona
Kila kitu chako napenda

Blow me kisses whichever distance we zirushe
Hata ka ni mbali nitaenda
Mtu wako mbona anakondaga mbaya nawaza mbona
Lakeside woman, lakeside woman

Mashallah girl you always on my mind
You always on my mind
You're beautiful smooth and kind
Ma ukismile unakaa so fine

Na mpenzi makerubi kaumbika na amejaza kama toli
Mwisho wa mwezi, ayaya
I hate and I love when you drive me crazy
Cheza chini mama we sinanga we si razy

Hananga maringo ako Kaloleni
Hata umpeleke City Stadi si mchezi
Wengine nitawatupa kama taka ndani ya begi
Mami umenishanda na mapenzi kama vedi, peddy

Credits
Writer(s): Scar Mkadinali, Domani Munga, Sewer Sydaa
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link