Story ya Mtoi

Hii ni story joh ya mtoi akiwa 13 mzae wake Ali left Zii hakugenya
Aliwatoka akiwa na mathao wakiwa in debt
Hii ni story joh ya mtoi sidai kumtaja
Ju Anaeza ni handa
Hii story joh ya mtoi kutoka Buru
So skizeni set
Kijana aligrow up vi fiti
Last born ma shida hazikua nyingi
Until Dunia ikaamua kum tichi
Trust me Dunia si mode mfiti
Mzae alijitoa
Na matha kusota
Kudoz Kwa floor hadi huezi Ota
Machozi on the low kwani nili kosa
Ma shida zikikam zu Kam na sosa
Walami walisema when it rains it pours
Confidence yangu ilipungua
Juu cladi zangu zilikua zinaunguza
Daily ni sembe tuna skuma na skuma
Wow
Ma arif Hawaezi releate
Daily Wana ku enjoy
Apo Kwa base
Ni crazy
Naskianga life ni test
Ni different Kwa kila msee
Ku copy ndo reason si hufail
So stay on your lane ndo kitu nili gain
The rain washes the pain away
Kwa brain memories of the days
So acha niwachapie hii story vi fiti
Uyu boy alichoka na hii life si nini
Akakumbuka anapendanga mziki
Rap to be specific
15 Kijana akaanza kuroga
Daily Mistari alikua anachora
Dreams are valid kaa umeiona
Ma Arif wakadai bado anachoma
Kijana akaendelea bado ku skuma
Follow your passion na utavuma
Kidogo reaction ikaanza kukuja
Kijana Akajua rap itamtuma

Hii ni story joh ya mtoi vile Ali dream mpaka ika kam
Hii ni story joh ya mtoi kutoka Buru na struggles za rap
Hii ni story joh ya alikua na issues akarise above
Hii ni story joh ya mtoi alingolewa mabawa na bado aka paa
Hii ni story joh ya mtoi
Hii ni story joh ya mtoi
Hii ni story joh ya mtoi
Hii ni story joh ya mtoi

9 years later
Uyu boy wetu ashakua star
Struggles zilimuacha na scars
Bado anaendelea ku paa
9 years later
Uyu boy wetu ashakua star
Struggles zilimuacha na scars
Bado anaendelea ku paa

Cheki kaa hujarada hii story ni ya nani
Hii story inaeza kua ya anyone
Amini your dream
That you're the one
Kwa hii life you only get one chance
So kaa wee ni baby
Au Unaishi Kwa ghetto
Kaa uko maganji
Au Unaishi msoto
Life haijali for less don't settle
Follow your dreams
Mpaka you make it



Credits
Writer(s): Arnold Omondi
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link