Msalaba Unajibu

Dhambi za mababu zangu Dhambi za kizazi changu
Dhambi za ujana wangu Zimekuwa hukumu yangu

Nakubali mimi mwenye dhambi
Nalilia huruma zako
Na sauti sauti ya hukumu
Haina nguvu zaidi ya yako

Msalaba unajibu
Msalaba unajibu
Msalaba unajibu
Maswali ya dhambi

Nakubali mimi mwenye dhambi,Nalilia huruma zako
Na sauti, sauti ya hukumu haina nguvu zaidi yako

Msalaba umejibu maswali ya dhambi
Maswali ya dhambi
Maswali ya dhambi



Credits
Writer(s): Peterson Githinji
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link