Yu Pekee

Hapana Rafiki kama Yesu
Yu pekee, Yu pekee
Hapana mponyaji kama Yesu
Yu pekee, Yu pekee

Yeye anaye sifa, ni Yesu
Yu pekee,Yu pekee
Ndiye aliye mnyenyekevu
Yu pekee, yu pekee

ajuaye shida zetu
Aweza kutuongoza
Hapana rafiki kama Yesu
Yu pekee, Yu pekee
Yu pekee, Yu pekee

Yesu ajua shida zetu
Aweza kutuongoza
Hapana rafiki kama Yesu
Yu pekee, Yu pekee

Yesu pamoja nasi daima
Yu pekee, Yu pekee
Kwa usiku aleta salama
Yu pekee,Yu pekee

Kulinda Yesu ni mwaminifu
Yu pekee, Yu pekee
Atakubali watakatifu
Yu pekee, Yu pekee

Ajuaye shida zetu
Aweza kutuongoza
Hapana rafiki kama Yesu
Yu pekee, Yu pekee



Credits
Writer(s): Peterson Githinji
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link