True

Hii love ni true
Sijai feel ivi girl i wanna be with you
Usiskize mamblainer awadai nitalk to you
Nadai kumake iyo move
Tubonge kiasi nadai ukam hood
Ain't about the money hii love ni true
Nimekua natamani ukue wa mine
Kuna venye unamake nifeel
Nikikucheki nafeel kukupiga deep kiss
Uneza kuwa mother of my kids

Hii love ni true
Sijai feel ivi girl i wanna be with you
Usiskize mamblainer awadai nitalk to you
Nadai kumake iyo move
Tubonge kiasi nadai ukam hood
Ain't about the money hii love ni true
Nimekua natamani ukue wa mine
Kuna venye unamake nifeel
Nikikucheki nafeel kukupiga deep kiss
Uneza kuwa mother of my kids

Kila time nikikucheki nago crazy me nakreki nakufeel baby
Sijui nini nitado
Nikicheki unabonga nao nafeel uduuu
Baby boo kenye nakushow ni true
Formation yangu ni kukukwachu
From ao mafala ki bafu chafu
Alafu nikumake uwe wangu
Naomba mungu nikiangalia mawingu
Mtoto umeweza we ni zaidi ya pengting
Sura na tabia unadeserve everything
Let me tell you nothing but the truth
Never take me for a fool
Hii kingdom turule

Hii love ni true
Sijai feel ivi girl i wanna be with you
Usiskize mamblainer awadai nitalk to you
Nadai kumake iyo move
Tubonge kiasi nadai ukam hood
Aint about the money hii love ni true
Nimekua natamani ukue wa mine
Kuna venye unamake nifeel
Nikikucheki nafeel kukupiga deep kiss
Uneza kuwa mother of my kids

Niko willing kufight juu yako
Nikuprotect na si vako
Siezi Kuchocha me ni wa gheto
Plus nimesoma niko na vision
Time inasonga nataka mrembo
Wanguu pekee na c kawa
Grandma anadai son
Nadai akucheki before apass
Hii love ni true italast
Mistakes kibao nilifanya in the past
Nikarekebisha know that
Am a new man with new intentions
Ocha ntajenga kimansion
Tupotee wasituone in person
We jua unarole na hustler About time akue superstar
Hii love ni true



Credits
Writer(s): Clinton Onyango
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link