Hybrid

Civic on the best
Some Cv
Eee,eeh

My nigga hatuko the same
Am on another level
Me ni hybrid kwa game speed supersonic
Niko cloud nine kuna vile hamnioni
Plotting mboka na ngori Kutoka morning adi jioni
Niko mabizz nazipiga clean
Kuchafua scene
Mtatii nikikam na hii
Project ni ya six
Royal bizz uneza sign na si
Huezi kosa meal,hang na si
Bora uwe real nadai loyalty

Hatuko the same am on another level
Me ni hybrid kwa game speed supersonic
Niko cloud nine kuna vile hamnioni
Plotting mboka na ngori kutoka morning adi jioni
Niko mabizz nazipiga clean
Kuchafua scene
Mtatii nikikam na hii
Project ni ya six
Royal Bizz uneza sign na si
Huezi kosa meal Hang na si
Bora uwe real nadai loyalty

Nacheki bado unajaribu kucatch up
Uneza fanywa ngori ukiwa live snapchat
Hesabu zako mingi ziezi add up
Ntahang up ukivuta tenje mara dat
Huezi play guiter huezi edit vida
Give to ceazer what due to ceazer
Itabidi umenikanja nireact unanyita
Niko industry na mabigfish kenya grips
Najua malights zote tunatake trips
Tungsten fresnel light iyo whip
Lenses za arri kwenye tripod juu ya ship
Allnight moonlight tuko eclipse
Another skill bado nimeivisha grips
Tunaspark izi lights in the dark
Mbogi yote imekumark
Ulipatwa ukilark, videvu wakakusmack
Trap tuliingia na light tukatoka in the dark
Nimejijenga mdogo najitoa Block
Nawaacha in shock

My nigga hatuko the same
Am on another level
Me ni hybrid kwa game speed supersonic
Niko cloud nine kuna vile hamnioni
Plotting mboka na ngori Kutoka morning adi jioni
Niko mabizz nazipiga clean
Kuchafua scene
Mtatii nikikam na hii
Project ni ya six
Royal bizz uneza sign na si
Huezi kosa meal,hang na si
Bora uwe real nadai loyalty

Hatuko the same am on another level
Me ni hybrid kwa game speed supersonic
Niko cloud nine kuna vile hamnioni
Plotting mboka na ngori kutoka morning adi jioni
Niko mabiz nazipiga clean
Kuchafua scene
Mtatii nikikam na hii
Project ni ya six
Royal Bizz uneza sign na si
Huezi kosa meal Hang na si
Bora uwe real nadai loyalty

Nikiwa apa sijakam kupiga pr
Nimekam kuwafunza na si cre
Ukidai ngori apa uneza die
Kama Tupac you can't see me
Nikitokea maybe nduthi ama kerae
Nawaonea 18 bila kidungi utacry
Uingizwe chamber ufanywe ngori no lie
Nikutumie my young niggas area yako watafly
Kuna vile we ni mrazi
Unatuseti huna wazazi
Family yako ina maganji
Huna weng zako
Umetupigia machain kutukulia vako
Jina ya gang ni me nilianzisha
Me ni don huezi nitisha
Nakuchachishia eka lawama ukijiskia
Huezi nishinda kupandisia
Uko down huezi nifikia
Every year is my year
In my heart hakuna fear
Logic nakupea clear
Hii ngoma najua unaskia
Hii story now fikiria

Another level
Me ni hybrid Kwa game speed
Eey
Niko cloud nine
Big up civic on the beat bana
Keep it rolling Bana nakupatia interlude sahii joh ya hii tape
Yoh Manze shout out Manze Kwa wasee wote wamenihold down yani unacheki
Hii kitu si easy Bana joh
Ukicheki we are still doing this yani
It's a miracle yani
All praises Yani to God,to Allah Yani
Kila msee anashow love
Positivity yani,everyone
Kama we ni hustler yani me naomba kila msee awin yani
Na ukiskia hii tape ikubless Yani
This is my soul speaking
Peace out yani



Credits
Writer(s): Clinton Onyango
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link