Bayoyo

Maneno tupu hayatoshi nikisema nakupenda
We nomino kitenzi sentensi nimekwama
Usinitoe mavazi muungwana kachutama
Moyo ukafa ganzi mwili wote ukatetema aiiee

Basi tucheze kidalipo,ukutiukuti toto totoo
Penzi baridi bila joto,nahugwirane tototoo
Nishakupa moyo wangu we mnazi mie mgema
Chaguo langu asilani usije nitemaa
Nishakupa moyo wangu we mnazi mie mgema
Chaguo langu asilani usije nitemaa

Ukicheka ntacheka nawe,aaii ntacheka nawe
Ukiringa ntaringa nawe aaii,ntaringa nawe
Ukicheka ntacheka nawe,aaii ntacheka nawe
Ukiringa ntaringa nawe aaii,ntaringa nawe

Vile unajuwa,mimi si kisu butu nakata kama panga
Mvua jua,namini nitadhubutu iwe hasi iwe chanya
Naomba dua,iwe marufuku mi nae kuachana
Sije potea nyota njema turufu gizani na mchana

Ndo mana nakaza roho kila kukicha nasaka dooh
Ongeza njonjo madoido,kisima na kata haitaji ndoo

Nishakupa moyo wangu we mnazi mie mgema
Chaguo langu asilani usije nitemaa
Nishakupa moyo wangu we mnazi mie mgema
Chaguo langu asilani usije nitemaa

Ukicheka ntacheka nawe,aaii ntacheka nawe
Ukiringa ntaringa nawe aaii,ntaringa nawe
Ukicheka ntacheka nawe,aaii ntacheka nawe
Ukiringa ntaringa nawe aaii,ntaringa nawe

Bolingo bayoyo,bolingo bayoyo
Bolingo bayoyo ouh ouh oohh
Bolingo bayoyo,bolingo bayoyo
Bolingo bayoyo ouh ouh oohh

Credits
Writer(s): Matano Mramba
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link