On Fire

Ooh yeah
Ooh beiby... Oooh
Mmmmh
Kama ni ndumba baby umenifanya kama punda
Mzigo ninabeba na ninadunda naenjoy
Walahi umenifunga mapigo ya moyo yananidunda
Kama ni sindano umenidunga mie hoi
Mmmh mmmh

Sanamu lako likajengwe posta ama
Niende kwenu nikatoe posa ama
Nifanye vitu wanione ndondocha ama
Ama nifanyeje

Jamani penzi lake pombe nimelewa
Nayumba nashindwa kujielewa
Kama unayajua haya umenielewa
Ila kama hujui ndo utachelewa

Aaaa uuuuuu nakukunda your love is on fire
Aaaa uuuuuu nakukunda your love is on fire

Kati ya wote hao,namba moja mi nakuambia
Nimepita wote hao,ooh baby
Thamani yako we,thamani yako zaidi ya rupia
Hawakuwezi hao ooh darling
Labda niikuambie kwamba,me nyoka umenivua gamba
Kwako naanzaje kutamba,sasa naanzaje baby we
Navenye unanivuta,nafsi inanisuta
Mi unanikoshaga na kule unanivusha
Nimeweka nukta mie nimefikaga

Sanamu lako likajengwe posta ama
Niende kwenu nikatoe posa ama
Nifanye vitu wanione ndondocha ama
Ama nifanyeje

Jamani penzi lake pombe nimelewa
Nayumba nashindwa kujielewa
Kama unayajua hayo utanielewa
Ila kama hujui ndo utachelewa

Aaaaaa uuuuu nakukunda your love is on fire
Aaaaaa uuuuu nakukunda your love is on fire

Aaaaaa uuuuu nakukunda your love is on fire
Aaaaa uuuuu nakukunda your love is on fire



Credits
Writer(s): Salmin Ismail Hoza
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link