Shemeji Yenu

Bilinge bilinge yooh yoh
Bilinge bilinge yooh yooh

Jirani oooh jirani
Kwani we ukipenda inakuwaje?
Maana jaman oooh jaman
Minakuwaga, chizi mi mujinga kabisa
Mwenzako mimi nikipenda, kabla ya chakula natokwaga na udenda
Na sijui kusarenda, yani uking'ata ndio nazidi kukupenda
Na ninakinyongo au wivu umejaa?
Mi sina dogoo
Muura vita ni vitaa

Na wakisema nikicheche eeeee
Anacho nipa sijaona, aaaaaah wapi
Sitojaribu nimtete eeeeh
Anachonipa sijaona baby
Ndio shemeji yenu
Shemeji yenu
Hata mumtete tete
Ndio shemeji yenu
Shemeji yenu huyoo
Ye ndio wapekee pekee
Shemeji yenu
Shemeji yenu huyoo
Kwake nishazama kina
Ndio shemeji yenu
Shemeji yenu huyoo
Nimezama mazimaa

Nazishika nabeba lawama huuu
Ataniua huyu mtoto wa mama mkwe heeeh
Chombo imetawala bahari
Maneno wala mimi sijali
Nataka anifiche twende mbali
Niwe wakwake peke yake tu
Si mnasema nacheat
Mwenzenu siamini
Utamu wa kijiti ukuchome chini
Aki mimi na yeye mashahidi wa nini?
Maana nikwel tumekula yamini

Nawakisema nikicheche eeeee
Anacho nipa sijaona, aaaaaah wapi
Sitojaribu nimtete eeeeh
Anachonipa sijaona baby
Ndio shemeji yenu
Shemeji yenu
Hata mumtete tete
Ndio shemeji yenu
Shemeji yenu huyoo
Ye ndio wapekee pekee
Shemeji yenu
Shemeji yenu huyoo
Kwake nishazama kina
Ndio shemeji yenu
Shemeji yenu huyoo
Nimezama mazimaa



Credits
Writer(s): Salmin Ismail Hoza
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link