Aso Mtu Ana Mungu

Sivai kwa nguvu zako kinachokuuma ni niniiii
Wala sili jasho lako kinakusumbua ni niniiii
Sivai kwa nguvu zako kinachokuuma ni niniiii
Wala sili jasho lako kinakusumbua ni niniiii

Mimi mimi sikitaki chako
Masimango masimango ni ya niniiii
Mimi mimi sikitaki chako
Masimango masimango ni ya niniiii
Pumua kwenye safu yako aso mtu hana Mungu
Pumua kwenye safu yako aso mtu hana Mungu
Pumua kwenye safu yako aso mtu hana Mungu
Pumua kwenye safu yako aso mtu hana Mungu

Usininange usininange mlimwengu
Mwana wa mwenzio usinitie mdomoni
Usininange usininange mlimwengu
Mwana wa mwenzio usinitie mdomoni
Riziki ni kwa mafungu usiwe na choyo
Mtoaji ni Maanani mtoaji ni Maananiii
Riziki ni kwa mafungu usiwe na choyo
Mtoaji ni Maanani mtoaji ni Maananiii
Mimi namegewa changu walijuwa hilo
Cha mtu cha kazi gani kazi gani
Mimi namegewa changu walijuwa hilo
Cha mtu cha kazi gani kazi gani
Wakumi kapewa kumi wamoja usihangaike
Wakumi kapewa kumi wamoja usihangaike

Wakumi kapewa kumi wamoja usihangaike
Wakumi kapewa kumi wamoja usihangaike

Aso mtu hana Mungu hayo ni kweli
Kiiherehere cha nini
Aso mtu ana Mungu hayo ni kweli
Kiiherehere cha nini

Aso mtu hana hana Mungu
Mbio usimuendee
Chuki katu na majungu na majungu
Yatakurudi mwenyewe
Aso mtu hana hana Mungu
Mbio usimuendee
Chuki katu na majungu na majungu
Yatakurudi mwenyewe
Hazivunji ngome alizozijenga manani
Nauseme useme sikujibu asilaniii
Hazivunji ngome alioijenga manani
Nauseme useme sikujibu asilaniii

Lilililalalaaah
Ulizani nitateseka msaada kunikhini
Ukawa unanicheka vicheko vya batwaani
Oohhhh
Ulizani nitateseka msaada kunikhini
Ukawa unanicheka vicheko vya batwaani
Mola amenikumbuka chema kesha niauni
Shida imeniondoka leo unaona sooni
Mola amenikumbuka chema kesha niauni
Shida imeniondoka leo unaona soo nini
Shufaa ni ya Rabbana anetowa na kutwaa
Shufaa ni ya Rabbana anetowa na kutwaa
Shufaa ni ya Rabbana anetowa na kutwaa
Shufaa ni ya Rabbana anetowa na kutwaa

Kila jambo kwa muumba mja una kitu gani
Ndie ninae muomba moyo ukatumainiii
Ooohhhh
Kila jambo kwa muumba mja una kitu gani
Ndie ninae muomba moyo ukatumainiiiii
Wewe bure unatamba kwa hivyo vyako vipeni
Si mimi utonitimba hiyo yote mitihani
Oohhhh
Wewe bure unatamba kwa hivyo vyako vipeni
Si mimi utonitimba hiyo yote mitihani
Mola hakupi kilema akakukosesha mwendo
Mola hakupi kilema akakukosesha mwendo
Mola hakupi kilema akakukosesha mwendo
Mola hakupi kilema akakukosesha mwendo

Alokupa alokupa kiti wewe cha kukalia
Kumbi akanipa mimi
Alokupa alokupa kiti wewe cha kukalia
Kumbi akanipa mimi
Ni Mungu si mwengiine wee
Sijitie tafrani
Na kunitoa thamani na kunitoa thamaani
Ni Mungu si mwengiine wee
Usijitie tafrani
Na kunitoa thamani na kunitoa thamaani
Kwa vipi unibeuwe mara juu mara chini
Huumkumbuki Manani mananiiii
Kwa vipi unibeuwe mara juu mara chini
Huumkumbuki Manani mananiiii
Chuki ziondoe kwangu yatizame yaliyo yakoo
Chuki ziondoe kwangu yatizame yaliyo yakoo
Ooooohhhh
Chuki ziondoe kwangu yatizame yaliyo yakoo
Chuki ziondoe kwangu yatizame yaliyo yakoo

Huwezi kuifuta kalamu ya rahmaani
Ndio imeshaaandikaaa
Ooooohhhh
Huwezi kuifuta kalamu ya rahmaani
Ndio imeshaaandikaaa

Aso mtu hana mungu hana Mungu
Mbio usimuendee
Chuki katu na majungu na majungu
Yatakurudi mwenyewe
Hazivunji ngome alizozijenga manani
Nauseme useme sikujibu asilaniii
Hazivunji ngome alioijenga manani
Nauseme useme sikujibu asilaniii



Credits
Writer(s): Baraka Mkande
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link