Mkosefu Wa Fadhila

Mkosefu wa fadhila - sabah salum
Mkombozi Records

Ooooooohhhh ooooohh

Aaaaaaaaah

Ooooooohhhh ooooohh
Mmmmhh mhhhhh

Ooooooohhhh ooooohh
Aaaaaaaaah aaaaaah

Mmmmhh mhhhhh
Mmmmhh mhhhhh

Ulikuja limbukeni hapo tulikubeba
Siku zoote la ubani halitibiki kwa vumba
Oooohhh
Ulikuja limbukeni hapo tulikubeba
Siku zoote la ubani halitibiki kwa vuumbaaa
Hukujali ikhisani na kila la matwilabaa
Usipoteze wakati fa hilo kulivimbaa
Oooooohhh
Hukujali ikhisani na kila la matwilabaa
Usipoteze wakati fa hilo kulivimbaa
Chuma hakiwi boliti na uzi hauwi kambaa
Ufahamu ilo kuti ni sawa sawa na pamba
Oooooohhh
Chuma hakiwi boliti na uzi hauwi kambaa
Ufahamu ilo kuti ni sawa sawa na pamba

Mbeleko tuliikaza kuuzidi utu wakoo
Ulitoka kwenye giza tukaficha aibu yakoo
Leo unatushangaza kuchonga mdomo wako
Leo unatushangaza kuchonga mdomo wako

Ooooooohhhh ooooohh
Aaaaaaaaah

Ooooooohhhh ooooohh
Mmmmhh mhhhhh

Ooooooohhhh ooooohh
Aaaaaaaaah aaaaaah

Mmmmhh mhhhhh

Ewe usie jihisi mbio zako hupumuii
Nawala hujitikisi nifungapo hufunguiii
Ooooohh
Wewe usie jihisi mbio zako hupumuii
Nawala hujitikisi nifungapo hufunguii
Napunda hawi farasi usijifanye huelewii
Kila tukificha kovu kiumbe haufadhilikii
Ooooh
Napunda hawi farasi usijifanye huelewii
Kila tukificha kovu kiumbe haufadhiliiiikii
Ni kama tambara bovu huwa halisarifikii
Tabia ya nazi mbovu uvundo haubandukii
Ni kama tambara bovu huwa halisarifikii
Tabia ya nazi mbovu uvundo haubandukii

Mbeleko tuliikaza kuuzidi utu wakoo
Ulitoka kwenye giza tukaficha aibu yakoo
Leo unatushangaza kuchonga mdomo wako
Leo unatushangaza kuchonga mdomo wako

Ilo unalotarajii ni shida jua haliipooo
Na kilo mbali hakiji kisichokuwa si chako
Kapu haliteki maji wamaliza nguvu zako
Ooooohh
Kapu haliteki maji wamaliza nguvu zako
Unachokitafuta hukipati kwangu
Unajisumbuaaaa
Mungu ameshanipa ridhikii yangu
Hutonifikiaaa
Unachokitafuta hukipati kwangu
Unajisumbuaaaa
Mungu ameshaniipa ridhikii yangu
Hutonifikiaaa
Kwa vishindo hunipati sio shida zangu
Unajisumbuaaaa
La Mungu hulifuti nina fungu langu
Hutonifikiaaa
Kwa vishindo hunipati sio shida zangu
Unajisumbuaaaa
La Mungu hulifuti nina fungu langu
Hutonifikiaaa
Tena usijisumbue sio levo yangu
Unajisumbuaaaa
Niache nipumue we si mke mwenzangu
Hutonifikiaaa
Tena usijisumbue sio levo yangu
Unajisumbuaaaa
Niache nipumue we si mke mwenzangu
Hutonifikiaaa
Ayaaaa weeeeee

Mwanangu mwenyewe thabit abduli



Credits
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link