Advice (feat. ODI WA MURANGA)

ADVICE BY IVY LYGUE
Mi usinipee advice
Kukata maji ni my choice
Ni mimi niliamua kuwa wasted
Vile unaniona, vile unaniona X5
Mi usinipee advice
Kukata maji ni my choice
Ni mimi niliamua kuwa wasted
Vile unaniona, vile unaniona X5

80% are my followers
Huniita icon
Incase you don't know
Mi na wewe hatuwezi ata kuwa marivals
Mi hubishana na wasee wakona balls
Kaa akina thanos
Na hizo doh
Mi huitishanga kwa hizo shows
Next year iite doubles
Mtaro naeza ingia maybe ju ya doh
Na hao madame hatuezi gamble
Mashawry ni SK
Na SK inamaanisha
Bado song kando

Mi usinipee advice

Kukata maji ni my choice
Ni mimi niliamua kuwa wasted
Vile unaniona, vile unaniona X5
Mi usinipee advice
Kukata maji ni my choice
Ni mimi niliamua kuwa wasted
Vile unaniona, vile unaniona X5

Mi nimekuja na odi
Kijana hapa hakuna mambo ya mbogi
Nacheki vile yeye huseti
Tatamshi si tuchill tumedi
Mashuksha zimenidedi
Come with the juice
Nitakupea hii keki
Lakini chunga usinidedi
Ivy lygue mimi ndiye ule mdeadly
I'm back on my shit
I'm back on my grind
You didn't hear me clear
You gotta rewind
Being waiting for this
For most of my life
When I told my friends
They thought I was lying
You thought I was lying?

I just needed time
To shit on your hoes
And make you with mine
Support with a drink
And don't spend a dime
Vile unaiona
Queen of these rhymes

Mi usinipee advice
Kukata maji ni my choice
Ni mimi niliamua kuwa wasted
Vile unaniona, vile unaniona X5
Mi usinipee advice
Kukata maji ni my choice
Ni mimi niliamua kuwa wasted
Vile unaniona, vile unaniona X5



Credits
Writer(s): Ivy Wangari
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link