Wasitozee (feat. Nezo B)

Bongo ya kwanza ni ya nelo
Ya pili ni ya kwalezo
Njoo basi tule butter
Kwani hapa ni upendo
Naleta trap kaa Arusha
Sanawari kuwahaswa
It's the trap queen baby
Sijaja mchezo hapa

Waambie nishafika
Na jiji nishaliteka
Waambie niko Kenya
Na jina nishaliweka
Kingsy ndio mimi
Na wala sina mpinzani
Na queensy ndio ivy
Hakuna ushindani
Bado nataka kucheza nawe
Ikiwezekana zakidi niwapige power
Wakikaza zakidi hiyo ni shauri yao

What I need is 1 2 3 bridges
What I get is 4 5 6 pitches
What they get is 7 8 9 speeches
Kumi, moja, mbili, wape lishe

Wasituzoeee
Watuache nanii

Hii ngoma bwana pambe
Kwa maboyz na malalez

Who thought I lost it?
I aint lost it hater
Only thing I ever lost
Was my respect for you hater
Told them you was smashing this
No you were not my hater
You is my son
Ivy signed your name my hater

Nina street code za mitaa
Wote wanajua
Nina jina moja tu
Ndilo linalowasumbua
Hamuezi kaa meza moja
Nami mkaongea
Hata kama kwenye game
Kimziki nitapotea
Wape habari zao
Waambie niko mbele
Jenga mengi sana

Mkabaji tuma yele
Kikosi optimum
We in the house
Na tunabanga na manigga
Let's bounce

What I need is 1 2 3 bridges
What I get is 4 5 6 pitches
What they get is 7 8 9 speeches
Kumi, moja, mbili, wape lishe
Wasituzoeee
Watuache nanii
Hii ngoma bwana pambe
Kwa maboyz na malalez



Credits
Writer(s): Ivy Wangari
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link