Nikiwa Star

Ukinipenda unipende
Kabla ndoto zangu azijaja kamilika
Naimani Iko siku mambo yatajipa
Ndoto zangu zitakamilika
Utanipenda ukishasikia superstar
Utatamani hata kujiweka
Maisha ya kistar nyota ikishang'aa
Ukinipenda nitakuona kaa kero
Nipende hata Sina hizo chapaaa
Tu enjoy ata nikiwa na jero

Nikishakua star
Utanipenda Sana sitaweza kukuoa
Nikishakua star
Najua utakazana ila nitakupotezea
Nikishakua star
Utanipenda sana sitaweza kukuoa
Nikishakua star
Najua utakazana Ila nitakupotezea

Nitajulikana Afrika Tanzania kote
Mtaani mimi ndo gumzo
Kwenye tv na magazeti
Taarifa zangu zitaenea
Utatamani hata kunikiss
Nafasi hiyo haitatokea
Maisha ya kistar nyota ikishang'aa
Ukinipenda nitakuona Kaa kero
Nipende hata sina hizo chapaaa
Tu enjoy ata nikiwa na jero

Nikishakua star
Utanipenda Sana sitaweza kukuoa
Nikishakua star
Najua utakazana ila nitakupotezea
Nikishakua star
Utanipenda sana sitaweza kukuoa
Nikishakua star
Najua utakazana Ila nitakupotezea

Star aaahh
Star aaahh

Nikishakua star

Nikishakua star

Ila nitakupotezea

Utanipenda sana

Nikishakuwa star ila



Credits
Writer(s): Dickson Sunday Mwasomola
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link