The Best One (feat. Kusah)
Ooh yeye ooh yeye naniseme limenivuruga penzi lako
Sijiwezi kabisa mimi kwako baby mimi kwako chizi wako
Sijiwezi kabisa fala kwako mpaka raha
Mapenzi haya miunayo nipa fire sijawai kupata mwaya
Kilakona nikigusa waya baby love
Mimi sio wa kwanza
Sio wa kwanza kupendwa nawewe
Walikuja wengi ni wengi
Niwengi walikuanga naweweeeh mh mmmh
Mimi sio wa kwanza
Sio wa kwanza kupendwa nawewe
Walikuja wengi ni wengi niwengi
Walikuanga nawewe
Ila mimi ndio the best
The best one
Ndio best one
The best one
Ila mimi ndio the best
The best one
Ndio best one
The best one the best one the best one
Ila mimi ndio the best
The best one
Ndio the best
The best one
Wanapiga vita penzi hawalipendi
Hili hawalipendi kweli hawalipendi
Siwalisha zusha kwamba sikupendi
Mimi sikupendi wewe sikupendi
Ikaja shida ukanibeba
Ukanivusha ukanibeba
Makosa yangu ukayabeba
Ukanishika ukanibeba
Ukalichukua penzi ukalitawala penzi baby aah
Waliniona mshenzi walinionaga ndezi maybe
Mimi sio wa kwanza
Sio wa kwanza kupendwa nawewe
Walikuja wengi ni wengi
Niwengi walikuanga naweweeeh mh mmmh
Mimi sio wa kwanza
Sio wa kwanza kupendwa nawewe
Walikuja wengi ni wengi niwengi
Walikuanga nawewe
Ila mimi ndio the best
The best one
Ndio best one
The best one
Ila mimi ndio the best
The best one
Ndio best one
The best one the best one the best one
Ila mimi ndio the best
The best one
Ndio the best
The best one
Sijiwezi kabisa mimi kwako baby mimi kwako chizi wako
Sijiwezi kabisa fala kwako mpaka raha
Mapenzi haya miunayo nipa fire sijawai kupata mwaya
Kilakona nikigusa waya baby love
Mimi sio wa kwanza
Sio wa kwanza kupendwa nawewe
Walikuja wengi ni wengi
Niwengi walikuanga naweweeeh mh mmmh
Mimi sio wa kwanza
Sio wa kwanza kupendwa nawewe
Walikuja wengi ni wengi niwengi
Walikuanga nawewe
Ila mimi ndio the best
The best one
Ndio best one
The best one
Ila mimi ndio the best
The best one
Ndio best one
The best one the best one the best one
Ila mimi ndio the best
The best one
Ndio the best
The best one
Wanapiga vita penzi hawalipendi
Hili hawalipendi kweli hawalipendi
Siwalisha zusha kwamba sikupendi
Mimi sikupendi wewe sikupendi
Ikaja shida ukanibeba
Ukanivusha ukanibeba
Makosa yangu ukayabeba
Ukanishika ukanibeba
Ukalichukua penzi ukalitawala penzi baby aah
Waliniona mshenzi walinionaga ndezi maybe
Mimi sio wa kwanza
Sio wa kwanza kupendwa nawewe
Walikuja wengi ni wengi
Niwengi walikuanga naweweeeh mh mmmh
Mimi sio wa kwanza
Sio wa kwanza kupendwa nawewe
Walikuja wengi ni wengi niwengi
Walikuanga nawewe
Ila mimi ndio the best
The best one
Ndio best one
The best one
Ila mimi ndio the best
The best one
Ndio best one
The best one the best one the best one
Ila mimi ndio the best
The best one
Ndio the best
The best one
Credits
Writer(s): Salmin Hoza
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
© 2025 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.