Nimekubali (feat. Lody Music & Adam Berry)

Hulijali pendo langu
Nahisi ni bora nisinge kung'ang'ania
Maana nahisi penzi langu nalivua
Unaniacha naenyeka

Hivi nini kosa langu
Hama ni vile mama haukuwa na nia
Hama ibirisi ndoanakukurupua unanifanya napombeka

Ufukara nilonao ndoikawa kisa na sababu ya kunikataa
Ooh mapenzi niliyaforce ona sasa ninavyo vagaa
Leo nazidiwa bao na wenye pesa mapedeshee na mapapaah
Ooh mapenzi niliyaforce ona sasa ninavyo chakaa

Hapana siwezi kukubali moyo wangu kuhenyeke
Hapana siKotayari kabisa kuteseka
We siunaenjoy sawa

Siunapendwa sawa
Yote sawa
Misiunaniumiza sawa
Siunanitesa sawa
Yote sawa

Nimekubali najiachia
Nimekubali najiachiaah aha aaha
Nimekubali najiachia
Ouooh oohoo
Nimekubali najiachia aah ah ah aaah
Ouyeeh eeh eeeh

Mh maumivu ya penzi yasikia
Ila usiombe yazame iloko zama bhana
Usiombe yakutimbie picha lake lanitafuna na mimi maana

Nawaza mbali baby tulishindwana wapi mimi na wewe
Yaloweza kuzungumzika nawe hukutaka kabisa
Nilidhani ntatesa mapenzi ya kulosa
Kumbe mwenzangu ndo haoni

Kwenye jua ulionyesha usiku ulikesha
Ulienda na muda ambao haufananii
Siwezi kukubali moyo wangu kuenyeka
Hapana siko tayari kabisa kuenyeka

We siunaenjoy sawa
Siunapendwa sawa
Yote sawa
Wesiunaniumiza sawa
Siunanitesa sawa yote sawa

Nimekubali najiachia
Nimekubali najiachiaah aha aaha
Nimekubali najiachia ouooh oohoo
Nimekubali najiachia aah ah ah aaah
Ouyeeh eeh eeeh



Credits
Writer(s): Adam Berry
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link