Juu Ya Nini (Sudough Doss)

Juu ya nini, huh?
Tunabishana juu ya nini, huh?
Si' huzoza juu ya nini, huh?
Si' hudishi juu ya nini, waah?
Tunabishana juu ya nini?
Juu ya nini?, Juu ya nini?, Juu ya nini?
Juu ya nini?, Juu ya nini?

Tunaulizana juu ya nini?
Tunaidishi juu ya nini?
Tunakusmoke juu ya nini?
Tunakufight juu ya nini?
Tunabishana juu ya nini?
Juu ya nini?, Juu ya nini?, Juu ya nini?
Juu ya nini?, Juu ya nini?

Juu ya nini, huh? Aah
Kijana handsome, niliacha mazda
No rap cap siku hizi na afford mustang
Suck ya' mother yes ah
Leta mtura jaza
Wakileta nyahu gaza

Pius Mwiru unaniletea nuru mwangaza
Huh, roll the riba ivi she kredosh kwa duka anakanjanga
Simple boys na ma omre anaroll na nguna anamkwanja
Huh, siku hizi ni nini wanasema? Ka sio pesa basi nyamaza

Ki-kiongozi, uliza ata matha
Kwanza nyamaza
Jahazi jaza, kabla, kabla
Haba na haba, maza
Anapenda harufu ya dinga
Anapenda harufu ya irori
Anapenda harufu ya dinga

Juu ya nini, huh?
Tunabishana juu ya nini, huh?
Si' huzoza juu ya nini, huh?
Si' hudishi juu ya nini, waah?
Tunabishana juu ya nini?
Juu ya nini?, Juu ya nini?, Juu ya nini?
Juu ya nini?, Juu ya nini?

Tunaulizana juu ya nini?
Tuanidishi juu ya nini?
Tunakusmoke juu ya nini?
Tunakufight juu ya nini?
Tunabishana juu ya nini?
Juu ya nini?, Juu ya nini?, Juu ya nini?
Juu ya nini?, Juu ya nini?

Juu ya nini, huh? Matha anauliza
"Why did you shoot my son ni juu ya nini?"
Sodough this year you didn't scoop not even one juu ya nini?
5 a.m, in the morning rolling ngori ka si cash juu ya nini?
Mama told me, "Jiamini, this-this will do, feel me"

Monday naingia kotini
Soon najua ni juu ya nini
Nikona kesi ya feds radio call ndenga mpini
Wanataka 60 but nikona 50
Na pia ikishindikana, nadai kuingia mitini

Icey so fresh so creamy
Most wanted mjini
They're looking for me everywhere, kaskazini kusini
Wakinitaja vibaya, wanajiuma ulimi
Someone told me that, "Cash huwa inaingia dakika 90"

'Member when I was skinny
Waliniweka chini
Siku nyingi sipimi
Asking tuonane lini
Mustang boys, dosh dose killy killy
(Do-dosh dose killy killy)

Juu ya nini, huh?
Tunabishana juu ya nini, huh?
Si' huzoza juu ya nini, huh?
Si' hudishi juu ya nini, waah?
Tunabishana juu ya nini?
Juu ya nini?, Juu ya nini?, Juu ya nini?
Juu ya nini?, Juu ya nini?

Tunaulizana juu ya nini?
Tuanidishi juu ya nini?
Tunakusmoke juu ya nini?
Tunakufight juu ya nini?
Tunabishana juu ya nini?
Juu ya nini?, Juu ya nini?, Juu ya nini?
Juu ya nini?, Juu ya nini?

Juu ya nini, huh?



Credits
Writer(s): Bryan Nalika Kasuti, David Munga
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link