10 Over 10 (Sudough Doss)

Waaah,yeah
Rock slow chill out be easy stay calm
Dear God tutoe kwa mikono za sheitan
Fake ones,wa-wa-wanajua si ndo the great ones
Pegans, they know hawako kwa safe hands
They know nothing like survival
Ata uki take chance, big bang
We came with a great punch

Eti walidhani si mazuzu when we play dumb
Wanasema well of that the B's but we take none
Bad cops on your door buup buup
Who's there with a five hundred
Smith of western truth or dare
On my faces naona ile look ya niggas who cares

Wanagwaya kwa ma corners vile si hutokea
Last night mbio mbaya hawangetu handle
Iwe tricky ama easy
They know where we come from
Kaa ni blessings zinashuka toka kila angle
Hawana shaka wanajua vile si hufanya mambo

Halo good friends goodbye enemies
10 over 10 tell me how can it be?
Manzi wanajua we only down for the bee
Tunashikanisha ends by any means

Halo good friends goodbye enemies
10 over 10 tell me how can it be?
Manzi wanajua we only down for the bee
Tunashikanisha ends by any means

Wasn't easy kukubali but tuli accept
Tuna ride mtu mbili so akuna back left
Tuki duck nyuma tuliwacha tume burnless
Tuko juu ya vitu nyingi na uezi suspect
Obvious (obvious) they know vitu zinatu trigger
Whenever you see us jua unaroll na maninja
Ni brown court aki walitupata tukitinga
Ngori ilikuwa yetu bro lakini tulidinda
Waliona wajinga kumbe mangrimba

Tangu wolf tutokee akuna circus ina simba
Buzz man camping ndo kikosi cha mizinga
Boys gone bad kitambo tuliharibika
Bro hua sicheki tukipatana kwa counter
Nipate juu ya keki tuko kwa picha na founder
We told you tuko seti na tutafika a thousand
Sasa mambo freshi wanalia la hau la

Halo good friends goodbye enemies
10 over 10 tell me how can it be?
Manzi wanajua we only down for the bee
Tunashikanisha ends by any means

Halo good friends goodbye enemies
10 over 10 tell me how can it be?
Manzi wanajua we only down for the bee
Tunashikanisha ends by any means

Halo good friends goobye enemies
10 over 10 tell me how can it be
Manzi wanajua we only down for the bee
Tunashikanisha ends by any means

Halo good friends goobye enemies
10 over 10 tell me how can it be
Manzi wanajua we only down for the bee
Tunashikanisha ends by any means



Credits
Writer(s): Bryan Nalika Kasuti
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link