Ulinijua

Nikiwa kijana nilisikia
Sauti ya upole
ikiniita mwanangu
Usiogope wewe uliye mdogo
Nitakusaidia
Kwa mkono wangu wa kuume
Nitakushika nitakutia nguvu
Kwa mkono wangu wa kuume
Nitakushika nitakutia nguvu

Ulinijua kabla sijakamilika
Ukanichagua nabii wa mataifa
Umenitoa agano la watu
Umeniweka Nuru ya mataifa
Ulinijua kabla sijakamilika
Ukanichagua nabii wa mataifa
Umenitoa agano la watu
Umeniweka Nuru ya mataifa

Eeh Bwana ninakushukuru
Kwa urithi wangu ndani yako
Eeh Bwana ninakushukuru
Kwa urithi wangu ndani yako

Bwana ni tayari kwa kazi yako
Ukiniita mara nitaitika
Upendako Bwana unitume
Nitakwenda
Neno lako Bwana nitalinena
Mataifa yote wakujue
Neno lako Bwana nitalinena
Mataifa yote wakujue

Jina lako wokovu wangu
Damu yako ukombozi wangu
Roho wako mwalimu wangu
Neno lako
Ni taa jina lako Bwana
Jina lako wokovu wangu
Damu yako damu yako ukombozi Wangu
Roho wako Roho wako mwalimu Wangu
Neno lako Bwana Neno lako ni taa Yangu

Ulinijua ulinijua kabla sijakamilika
Ukanichagua ukanichagua nabii wa Mataifa
Umenitoa umenitoa agano la watu
Umeniweka umeniweka nuru ya Mataifa

Ulinijua ulinijua kabla sijakamilika
Ukanichagua ukanichagua nabii wa Mataifa
Umenitoa umenitoa agano la watu
Umeniweka umeniweka nuru ya Mataifa

Eeh Bwana ninakushukuru
Kwa urithi wangu ndani yako
Eeh Bwana ninakushukuru
Kwa urithi wangu ndani yako
Eeh Bwana ninakushukuru
Kwa urithi wangu ndani yako
Eeh Bwana ninakushukuru
Kwa urithi wangu ndani yako



Credits
Writer(s): Carlson Leandry
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link