Bwana Mchungaji wangu

Bwana ni mchungaji Nuru gizani
Yeye ni mponyaji uzima kifoni
Bwana ni mpaji wa vitu maishani
Alijitoa kwa ajili yangu Bwana
Akanifia msalabani
Alijitoa kwa ajili yangu Bwana
Akanifia msalabani msalabani

Bwana ni mchungaji wangu nimuogope nani
Bwana ndiye mlinzi wangu nimuhofu nani
Bwana ni msaada wangu niogope nini
Nimuogope nani
Nimuhofu nani
Niogope nini

Bwana ni mchungaji wangu nimuogope nani
Bwana ndiye mlinzi wangu nimuhofu nani
Bwana ni msaada wangu niogope nini
Nimuogope nani
Nimuhofu nani
Niogope nini
Bwana mwaminifu ahadi zake kweli kweliiii
Yeye ni mtukufu mwingi wa Fadhili
Bwana ni Mtakatifu mwokozi wa mwili mwili
Mshika maagano asisahauu milele
Atatuokoa na uharibifuuuu
Mshika maagano asisahauu milele
Atatuokoa na uharibifuuuu na uharibifu

Bwana Mchungaji wangu
Bwana ni mchungaji wangu
Niogope
nimuogope nani
Bwana ndiye mlinzi wangu
Wa karibu yangu mimi
Nimuhofu nani
Bwana ni msaada wangu sina hofu niogope nini
Nimuogope nani
Nimuhofu nani siogopi siogopi siogopi
Niogope nini

Bwana ni mchungaji wangu Bwana ni mchungaji nimuogope nani niogope nini
Bwana ndiye mlinzi wangu nimuhofu nani wa karibu yangu
Bwana ni msaada wangu ooh niogope nini
Nimuogope nani niogope
Nimuhofu nani
Niogope nini

Wamepigwa chini adui zangu
Wala Sio kitu adui zangu
Wamefedheheshwa adui zangu
Hawako tena adui zangu
Wamepigwa chini adui zangu
Wala Sio kitu adui zangu
Wamefedheheshwa adui zangu
Hawako tena adui zangu



Credits
Writer(s): Carlson Leon
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link