Conscious Rap
Kwa hizi Ken hoods ma pioneer never get their dues
Ojwang, Masanduku, Shirandula wali chekesha nation
But our nation ime move on
Do we care how their families are doing
Je? huu ni ugwana, ku sota ya bana
But tu shazoea ku toa soo ya tea ku avoid black coffee
Toka hokez tao mpaka hapa, kweli muscle ya tii
Si kuji gamba, but hizi mistari za ni bamba
Wapi makofi, shangwe na vigele gele
Ku tafuta hii cash kila siku juu ya struggle na hustle
Solo ka Mwogli kwa hii jungle bila Bagheera
Serikali ya kera, but bado na pepurusha hii bendera
Mission ni ku stay alive na ku avoid jela
Tuki hope for a better life for the next generation
Half classmate wa nasa, wako kwa graveyard
Na hao si visitors ni permanent residents
Maybe V.C.T ingle help, P.E.V and poverty haiku help
Poverty ina maliza raia hii area kuliko malaria
Add it up, wasted talent na lost potential
Painful kama kuona your favourite daughter aki turn to a house help
Hapa ama ma juu tuna jua maisha yao iko chini
Better option though, kuliko kuvaa mini kuenda ofisini usiku
Come on, mnajua hizi streets
Fees ilikosa na zakubeba vitabu tu school pia
Sa kijana anabeba chuma kuenda kwa bank hataki kufanya kazi ya mjei
Njei wako rada reflex ni ku spray bila hesitation on any confrontation
Waziri uki come area ku omba kura jua sisi si walezi
Na maybe malezi ingekua better with better opportunities
Ku endasha nduthi hai wezi kua ndio vision ya kazi kwa vijana
Na si taki law suit sija kutaja but una ji jua
Na kumulika na hizi words ka lazor beam
Maneno mazito kwa ratili, kufungua akili za vijana wawe mawakili pia
Si ma jangili wakuku pora bangili au kuuza mwili
Makofi ya kilo
Buda uko na potential but una need kupiga something commercial
Hii direction ya consciousness haina pension
At best utapata a few mentions hapa na pale
Conscious rap don't pay
Hizi shida zime kua since then
Mbona una dhani wata kuskia
Make something controversial, tukana rapper
Post picha kwa mansion na fake jewellery
Chukua loan hire gari uonekane ume make it
Chapa kitu tunaweza leta mavixens wa tingishe digda
Mbona hakuna curse words kwa rhymes zako
Msiki ya kisasa lazima useme nigga ama bitch
Wanataka kusikia vile wewe ukata maji na ma ndom
Wanataka kusikia vile unamamazi wengi
Wanataka kuona six pack hii kitambi haitaweza
Mbona words zako ziko clear
Ungea matope kwa beat ama mumble
Machine gun rap ama rudisha words nyuma
Una kashi vile ina muka
Wana penda ku skia vitu hawataelewa
Cheki vile wana penda lingala
Maybe ki jamaica will do it bombo claat badman ting
Nunua views bila views hawataki ku jua about your views
Ama una jaribu ku kua king wa underground
Checki ngoma yako ya covid vile ili lala
Ha Pa Na
Hii si underground, the radio don't play me, the internet pays me
Nani ali sema ku kick knowledge dont pay
Come ni kusho business plan, each one teach one
That one pay me, nime buy merch kwa Akinyi
Hii ni currency ku circulate, ku baki kwa community
Ka tuna batter between us, hatu wezi parara
Za kale kama mc Otero ime kubali ka Vgeti
Authentic ka k swizz, imara ka G wiji miti
Wa furu but natambua K South flava Abbass na si wa PLO
Strongest timber I think that's Bamboo
Our ni fore fathers bro Mau Mau itabidi ku tafsiri yo
Ontongolo time R.I.P to Poxi Pressure
Tunaweka pressure kwa game
Waki koa mna come
Tuna ombea legends wa live long

Credits
Writer(s): Peter Mutisya
Lyrics powered by www.musixmatch.com
Link
Other Album Tracks
© 2024 All rights reserved. Rockol.com S.r.l. Website image policy
Rockol
- Rockol only uses images and photos made available for promotional purposes (“for press use”) by record companies, artist managements and p.r. agencies.
- Said images are used to exert a right to report and a finality of the criticism, in a degraded mode compliant to copyright laws, and exclusively inclosed in our own informative content.
- Only non-exclusive images addressed to newspaper use and, in general, copyright-free are accepted.
- Live photos are published when licensed by photographers whose copyright is quoted.
- Rockol is available to pay the right holder a fair fee should a published image’s author be unknown at the time of publishing.
Feedback
Please immediately report the presence of images possibly not compliant with the above cases so as to quickly verify an improper use: where confirmed, we would immediately proceed to their removal.