Habibty (feat. Phyl the Kangogo)

Wagwan wagwan yeah
The Kangogo yeah
Kenchez Muya
Oh Nana nanana Yeah
Oh uuuuh

Imiano lakwani anyone gaa
Amite sokoni aalun ne
Kiaitu pitoni nakuja kwako
Mi ago chop kwenik imache ne
Amache achamin oh Chebet
Nataka nikupende Chebet
Kiaitu Tugen Hills anyone
Nimeleta zawadi yako Chebet

Mi napenda binti kabinti (Kabinti)
Penzi si la fifty fifty (Fifty fifty)
Habibti habibti (Habibti)
Wanifanya nihisi fiti (Nahisi fiti)
Mi napenda binti kabinti (Kabinti)
Penzi si la fifty fifty (Fifty fifty)
Habibti habibti (Habibti)
Wanifanya nihisi fiti (Nahisi fiti)

Mkhana wanje oriena nenya ufwale vulai
Nenya khutsie khuchende (khuche khuche khuchende)
Vulano nina mang'ondo vola sholenyanga
Shindu shosi ukhue (uwe uwe)
Mkhana wanje mulina wanje
Nakumisi sana
Muyanzi wanje baby wanje
I need you by my side

Amba khuchende
Mdogodogo tuzurure (Na wewe)
Kwa mgongo nikubebe
Kama mwana wewe ndiwe my baby (My baby)
Amba khuchende
Mdogodogo tuzurure (Na wewe)
Kwa mgongo nikubebe
Kama mwana wewe ndiwe my baby (Baby)

Binti kabinti (Kabinti)
Penzi si la fifty fifty (Fifty fifty)
Habibti habibti (Habibti)
Wanifanya nihisi fiti (Nahisi fiti)
Mi napenda binti kabinti (Kabinti)
Penzi si la fifty fifty (Fifty fifty)
Habibti habibti (Habibti)
Wanifanya nihisi fiti (Nahisi fiti)

(Keger kerebet mama keger kerebet)
(Keger kerebet mama keger kerebet)
(Keger kerebet mama keger kerebet)
(Keger kerebet mama)



Credits
Writer(s): Kenneth Muya Mukhwana, Philemon Kangogo, Wachira Gatama
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link