Waenda

Tatatata ra ra ra ra ra

I accept nimekubali matokeo
Kwani furaha yako ndio raha ya wangu moyo
Nakuombea mema
Kokote unakoenda
Tutaonana tena
Mungu akipenda

I wanted you to stay (yeah yeah)
Why'd you have to go away from me (yeah yeah)
You're the one that got away (yeah yeah)
Mbona hukusema

Waenda (Why)
Waendie naku? (Why)
Waenda (Oh Why)
Why'd you have to go?
Waenda (Why)
Waendie naku? (Why)
Waenda (Oh Why)
Why'd you have to go?
Why'd you have to go?

My heart is breaking (heart is breaking)
I wasn't ready for this
Ulisema kwaheri (Kwaheri)
Now I feel so weary
Na natamani ningeweza kukuona tena nikuone tena
Natamani ningeweza cheka nawe tena tupige story tena

Nimebaki na picha zako hapa
Bado natapatapa
Nashindwa wapi mimi nitakupata
Kweli nashindwa eh

I wanted you to stay (yeah yeah)
Why you have to go away from me (yei yei yeah yeah)
You're the one that got away (yeah yeah)
Mbona hukusema

Waenda (Why)
Waendie naku? (Why)
Waenda (Oh Why)
Why'd you have to go?
Waenda (Why)
Waendie naku? (Why)
Waenda (Oh Why)
Why'd you have to go?
Waenda (Why)
Waendie naku? (Why)
Waenda (Oh Why)
Why'd you have to go?
Waenda (Why)
Waendie naku? (Why)
Waenda (Oh Why)
Why'd you have to go?
Why'd you have to go?

Yaani siamini
Mi Sijawai fanyiwa hivi na msichana
Yaani ni kama unaitishwa fare ya Uber alafu anakuja na nduthi
Umeniudhi
Sauti yako soothing
Nilijipata naskiza hizo excuses zako usiku na mchana
Player kama Mimi aje nakubali kuresign
Alafu Hii ndio design unanifanya
Ama maybe ni Karma
Ulitumwa nilipie zile dhambi zote nishai fanya
For real inauma sana
Lakini bado roho yangu inakupenda
No lie tunaweza delete picha zote social media
But hakuna vile tunaweza delete memories
Jana kwanza mtu wa gas kwanza alinicall kuniuliza kama nilihama
Juu alipeleka gas akafunguliwa mlango na chali mwingine
Few days after tu nimelipia ile ingine
Yaani wewe hata huwezi ngoja hata perfume yangu iishe kwa sheets
Before umeinvite mwingine
Hakuna noma
Maybe ulinipenda
Maybe hukunipenda
But vile umenifanya
We jua tu Karma yako iko gym inapiga tizi
Please nisahau na unisahau kabisa
Assume mimi na wewe hatujawai meet ever
Na hata ukiniona kwa ndoto yako
Wewe kula vako
Skoko

Why'd you have to go



Credits
Writer(s): Kenneth Muya Mukhwana, Mordecai Mwini Kimeu, Wachira Gatama
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link