On My Way

Manolo
Nasema nisamehe
Nasema nisamehe
Hapa nilipo siwezi kujitoa
Kujiokoa
Baba na mama hawezi kunitoa
Hawawezi kunitoa
Niwewe peke yako Baba
Nakubali nimekosa Baba

Nilijaribu kwa ujanja wangu
Njia zangu
Wembe nilipewa nimejikata kivyangu
Kazi ulinipa ikanitenga na wewe
Nilijaribu kwa ujanja wangu
Njia zangu
Wembe nilipewa nimejikata kivyangu
Mali Ulinipa imenitenga na wewe
I'm sorry

But I'm on my way
Nakuja
I'm on my way
Niko njiani
I'm on my way
Nakuja
I'm on my way
I'm on my way
Nakuja
I'm on my way
Niko njiani
I'm on my way
Nakuja
I'm on my way
I'm coming home

I am on my way
I am on my way
I will not delay
No more

Nisamehe
Mbona lazima kwanza mi nitry
Nikishaumia nikuje kwako nikicry
Nisamehe
Mbona mimi kama mtoto
Nakimbilia kushika nikijua ni moto
Nilijaribu kwa ujanja wangu
Njia zangu
Wembe nilipewa nimejikata kivyangu
Kazi ulinipa ikanitenga na wewe
I'm sorry
Nilijaribu kwa ujanja wangu
Njia zangu
Wembe nilipewa nimejikata kivyangu
Mali Ulinipa imenitenga na wewe
I'm sorry

But I'm on my way
Nakuja
I'm on my way
Niko njiani
I'm on my way
Nakuja
I'm on my way
I'm on my way
Nakuja
I'm on my way
Niko njiani
I'm on my way
Nakuja
I'm on my way
I'm coming home

Nisamehe
Nasema nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
Nisamehe
I'm not worthy to be called a son
Worthy to be called a son
Nisamehe

I'm on my way
Nakuja
I'm on my way
Niko njiani
I'm on my way
Nakuja
I'm on my way
I'm on my way
Nakuja
I'm on my way
Niko njiani
I'm on my way
Nakuja
I'm on my way
I'm coming home



Credits
Writer(s): Emmanuel Makau
Lyrics powered by www.musixmatch.com

Link